Una uhakika ni Girlfriend wako?Tulikwazana kidogo na my girlfriend wang nikaamua nikae kimyA ! Nashangaa nae yupo kimyaa siku ya 3 ina isha leo hivi kuna upendo happ [emoji849][emoji849][emoji849] nilitegemea atanitafuta ataomba msamaha lakini kaamua nae kukausha kama mimi.
Tulikwazana kidogo na my girlfriend wang nikaamua nikae kimyA ! Nashangaa nae yupo kimyaa siku ya 3 ina isha leo hivi kuna upendo happ [emoji849][emoji849][emoji849] nilitegemea atanitafuta ataomba msamaha lakini kaamua nae kukausha kama mimi.
Nilisahau kukuuliza…nani aliyemkosea mwenzake?Tulikwazana kidogo na my girlfriend wang nikaamua nikae kimyA ! Nashangaa nae yupo kimyaa siku ya 3 ina isha leo hivi kuna upendo happ [emoji849][emoji849][emoji849] nilitegemea atanitafuta ataomba msamaha lakini kaamua nae kukausha kama mimi.
Nimependa unavyojiamini mkuu…gud!!Ndiyo na uhakika
Pole….hebu jaribu kumtafuta kwanza uone majibu yakeYeye ndiyo kanikosea mimi
Sasa na wewe ni kama yeye tu, mwanaume unanunaje sasaTulikwazana kidogo na my girlfriend wang nikaamua nikae kimyA ! Nashangaa nae yupo kimyaa siku ya 3 ina isha leo hivi kuna upendo happ [emoji849][emoji849][emoji849] nilitegemea atanitafuta ataomba msamaha lakini kaamua nae kukausha kama mimi.
Yeye ndiyo kanikosea mimi