ameniomba nimsamehe

Msamehe na mkae chini mzungumzie hilo suala,maana kulaumiana kila wakati siyo kujenga huko.
 
handisamu bwoi msamehe tu atakua kajua kosa lake tayari
 
mchunguze kwanza kama uhandsome wako ndiyo sababu yake kwani inawezekana kunajamaa alimdanganya mwishoe akamwaga sasa anataka umsamehe.

na udom kama rekod ya jamvini inavosema. Wengi wanajiita/au ni mahandsome. Usikute kamganda sababu ya u handsome face.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…