ameniomba nimsamehe

ameniomba nimsamehe

Msamehe na mkae chini mzungumzie hilo suala,maana kulaumiana kila wakati siyo kujenga huko.
 
mchunguze kwanza kama uhandsome wako ndiyo sababu yake kwani inawezekana kunajamaa alimdanganya mwishoe akamwaga sasa anataka umsamehe.

na udom kama rekod ya jamvini inavosema. Wengi wanajiita/au ni mahandsome. Usikute kamganda sababu ya u handsome face.
 
Back
Top Bottom