Mary Chuwa
Senior Member
- Feb 24, 2011
- 177
- 40
ndiyo binadamu hao kigeugeu ni tabia yaoDah, ana kigeu geu, ila msamehe tu mrudiane kama bado unampenda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndiyo binadamu hao kigeugeu ni tabia yaoDah, ana kigeu geu, ila msamehe tu mrudiane kama bado unampenda.
mchunguze kwanza kama uhandsome wako ndiyo sababu yake kwani inawezekana kunajamaa alimdanganya mwishoe akamwaga sasa anataka umsamehe.
na udom kama rekod ya jamvini inavosema. Wengi wanajiita/au ni mahandsome. Usikute kamganda sababu ya u handsome face.
Wanaume legelege na maamuzi legeleg.