Ameniorodhoshea mahitaji mengi utafikiri mimi ni babaake

Kipoch manyoya unataka au utak
 
Hiyo Text Ya Mwisho " Wanaume Bwn" Huyo Ameamua Kukufukuza Kwa Namna Hiyo.

Hayo Mahitaji Ni Kawaida Kabisa Angeyaleta Kwa Mpangilio Na Njia Iliyo Nzuri.
 
Eti "wanaume bwn"..[emoji23][emoji23][emoji23]

Epuka matapeli mkuu
 
Achananae tafuta mwingine
 
Aa
Mnaosema hampendi anamfukuza, hivi akipewa hivyo vitu atakataa?
Ataomba vingine mpaka mwamba aombe poo Mfano atamwambia mwamba anadaiwa Kodi laki tatu kwa mwezi na Alipe mwaka mzima 3.6m
 
Aa
Mnaosema hampendi anamfukuza, hivi akipewa hivyo vitu atakataa?
Ataomba vingine mpaka mwamba aombe poo Mfano atamwambia mwamba anadaiwa Kodi laki tatu kwa mwezi na Alipe mwaka mzima 3.6m
 
Kausha Damu a.k.a wagogo

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…