Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Atapokea na ataomba vingine tenaMnaosema hampendi anamfukuza, hivi akipewa hivyo vitu atakataa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atapokea na ataomba vingine tenaMnaosema hampendi anamfukuza, hivi akipewa hivyo vitu atakataa?
ImemcostUsikute jamaa alimwambia sema chochote unachotaka nitakupa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
BadoUmeshamla?
Kipoch manyoya unataka au utakNilimtongoza kwa Nia ya kumuoa, jobless aneorodhesha mahitaji mengi Hadi nikamchukia ghafla.
Mtu alikuwa kwao hana mishe yeyote lakini anataka anataka maisha ya kifahari wakati kwao ni maskini.
1. Simu ya laki saba
2. Kusuka mtindo wa elfu 70
3. Begi la laki moja
4. Kiatu cha elf 50
5. Bundle la elfu 30 wakati hakuna Cha maana anachokifanya online
View attachment 2873487
Kabisaa. Hata ukisoma text tu hizo mbona ziko waz sana.hakutaki kakufukuza kijanja tu
Eti "wanaume bwn"..[emoji23][emoji23][emoji23]Nilimtongoza kwa Nia ya kumuoa, jobless aneorodhesha mahitaji mengi Hadi nikamchukia ghafla.
Mtu alikuwa kwao hana mishe yeyote lakini anataka anataka maisha ya kifahari wakati kwao ni maskini.
1. Simu ya laki saba
2. Kusuka mtindo wa elfu 70
3. Begi la laki moja
4. Kiatu cha elf 50
5. Bundle la elfu 30 wakati hakuna Cha maana anachokifanya online
View attachment 2873487
mimi tena nnavyokutaka kwa udu na uvumbaa weeeKabisaa. Hata ukisoma text tu hizo mbona ziko waz sana.
Kama wewe tu unavyonifanyia mimi
Achananae tafuta mwingineNilimtongoza kwa Nia ya kumuoa, jobless aneorodhesha mahitaji mengi Hadi nikamchukia ghafla.
Mtu alikuwa kwao hana mishe yeyote lakini anataka anataka maisha ya kifahari wakati kwao ni maskini.
1. Simu ya laki saba
2. Kusuka mtindo wa elfu 70
3. Begi la laki moja
4. Kiatu cha elf 50
5. Bundle la elfu 30 wakati hakuna Cha maana anachokifanya online
View attachment 2873487
Ataomba vingine mpaka mwamba aombe poo Mfano atamwambia mwamba anadaiwa Kodi laki tatu kwa mwezi na Alipe mwaka mzima 3.6mMnaosema hampendi anamfukuza, hivi akipewa hivyo vitu atakataa?
Ataomba vingine mpaka mwamba aombe poo Mfano atamwambia mwamba anadaiwa Kodi laki tatu kwa mwezi na Alipe mwaka mzima 3.6mMnaosema hampendi anamfukuza, hivi akipewa hivyo vitu atakataa?
Kausha Damu a.k.a wagogoNilimtongoza kwa Nia ya kumuoa, jobless aneorodhesha mahitaji mengi Hadi nikamchukia ghafla.