Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Wakuu hii imekaa vipi jana nilipata pisi moja ya kanda ziwa ina mguu mnene balaa na tako zito, nikaikaribisha kwangu ikaoga vizuri, mara hooo mwizukulu mgikuru ninaomba nguo yako nivae hii yangu imelowa..ikabidi nimpe kishingo upande, usiku umepita vizuri tu , asubuhi anakomaa kuondoka amevaa nguo yangu ya ndani ilibidi nimpe tahadhari usiende kuifanyia uchawi huko tafadhali.
Wakuu hii imekaaje au huwa ni kawaida🤔😥
Wakuu hii imekaaje au huwa ni kawaida🤔😥