Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Wakuu hii imekaa vipi jana nilipata pisi moja ya kanda ziwa ina mguu mnene balaa na tako zitto.nikaikaribisha kwangu ikaoga vizuri, mara hooo mwizukulu mgikuru ninaomba nguo yako nivae hii yangu imelowa..ikabidi nimpe kishingo upande, usiku umepita vizuri tu , asubuhi anakomaa kuondoka amevaa nguo yangu ya ndani ili bidi nimpe tahadhari usiende kuifanyia uchawi huko tafadhali...wakuu hii imekaaje au huwa ni kawaida[emoji848][emoji26]
Na ww muombe yake uivae iwe bila bila😇🤣Wakuu hii imekaa vipi jana nilipata pisi moja ya kanda ziwa ina mguu mnene balaa na tako zitto.nikaikaribisha kwangu ikaoga vizuri, mara hooo mwizukulu mgikuru ninaomba nguo yako nivae hii yangu imelowa..ikabidi nimpe kishingo upande, usiku umepita vizuri tu , asubuhi anakomaa kuondoka amevaa nguo yangu ya ndani ili bidi nimpe tahadhari usiende kuifanyia uchawi huko tafadhali...wakuu hii imekaaje au huwa ni kawaida🤔😥
Isijekuwa ameenda kuitengeneza ili anitumie kipande😁😁Kuwa na amani
😂😂😂😂
Nilitumia mbinu za kimedani kumuingiza nyumbani alikuwa hana mpango halafu amelewaaa😁Kwa kuwa alishaanza kuivaa hapo kwako hakuna shida ya kufanya uchawi.
Demu anatoka kwake kavaa chupi moja na anajua anakuja kutumika na kulala!!
Au uliokota demu barabarani hakuwa amejipanga kulala nje na kwake?
Mwambie ukweli mwenzio.Kuwa na amani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeitafuta sana hii commentItakuwa nawe una tako zito.
Huyo lazima uoe Mgikuru, upende usipende angalia kuanzia sasa mawazo yako yanamuwaza yeye tu.Wakuu hii imekaa vipi jana nilipata pisi moja ya kanda ziwa ina mguu mnene balaa na tako zitto.nikaikaribisha kwangu ikaoga vizuri, mara hooo mwizukulu mgikuru ninaomba nguo yako nivae hii yangu imelowa..ikabidi nimpe kishingo upande, usiku umepita vizuri tu , asubuhi anakomaa kuondoka amevaa nguo yangu ya ndani ili bidi nimpe tahadhari usiende kuifanyia uchawi huko tafadhali...wakuu hii imekaaje au huwa ni kawaida🤔😥