mikila miwili
JF-Expert Member
- Dec 14, 2021
- 563
- 561
Azabu au sio.Uyo ni bibi yake na shetani
Alafu azabu yake iongezwe kidogo basi [emoji23]
SLAY QUEEN NI MTU WA KUMUOGOPA SANAAnaitwa Safina Diamond, ni slay queen na socialite wa Ghana. Ameshikiliwa na polisi kwa kumchoma visu zaidi ya mara30 shingoni na tumboni, na kumuua mpenzi wake ambaye alikuwa amesafiri siku chache kutoka Canada.
Baada ya tukio aliutelekeza mwili wa mwanaume huyo ndani ya gari la mwanaume huyo na kutengeneza 'defense mechanism' kuwa alikuwa anajitetea kwani jamaa alikuwa anataka kumbaka, ikumbukwe kuwa jamaa ana mke na watoto.
Tukio lilitokea hotelini walikokuwa wamepanga kwa siku kadhaa.
mzabzab DeepPond
30 stab wounds sii kitoto hii kweli ni crime of passion. Kwa idadi ya michomo inaonyesha dada alikuwa emotional sana kuna kitu jamaa alimpromise huyu mwanamke sasa hajatimiza[emoji116][emoji116][emoji116] View attachment 2311088
Anaitwa Safina Diamond, ni slay queen na socialite wa Ghana. Ameshikiliwa na polisi kwa kumchoma visu zaidi ya mara30 shingoni na tumboni, na kumuua mpenzi wake ambaye alikuwa amesafiri siku chache kutoka Canada.
Baada ya tukio aliutelekeza mwili wa mwanaume huyo ndani ya gari la mwanaume huyo na kutengeneza 'defense mechanism' kuwa alikuwa anajitetea kwani jamaa alikuwa anataka kumbaka, ikumbukwe kuwa jamaa ana mke na watoto.
Tukio lilitokea hotelini walikokuwa wamepanga kwa siku kadhaa.
mzabzab DeepPond
Wanawake no viumbe hatari Sana kudadeki! Na ndio maana Mtume Paulo alituambia tuishi nao kwa akili.[emoji116][emoji116][emoji116] View attachment 2311088
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wala nyeto mko salama 100%
Mana hadi mkono wako ukusaliti ujue we ni shoga/Gay.
Vifo vya aina hii havitakaa viwakute kamwe[emoji23][emoji23]
Yeah wakorofi sana [emoji28]Sema ma slay queens wa West Africa hawanaga papapuuupaa, yaani akisema A ni A tu na hataki kusikia mambo ya B ...