Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
TRA need to reconsider its tax base and check the possibility of tapping in the untapped sex economy, a multi-billion virgin sector!Anaitwa Safina Diamond, ni slay queen na socialite wa Ghana. Ameshikiliwa na polisi kwa kumchoma visu zaidi ya mara30 shingoni na tumboni, na kumuua mpenzi wake ambaye alikuwa amesafiri siku chache kutoka Canada.
Baada ya tukio aliutelekeza mwili wa mwanaume huyo ndani ya gari la mwanaume huyo na kutengeneza 'defense mechanism' kuwa alikuwa anajitetea kwani jamaa alikuwa anataka kumbaka, ikumbukwe kuwa jamaa ana mke na watoto.
Tukio lilitokea hotelini walikokuwa wamepanga kwa siku kadhaa.
mzabzab DeepPond
I mean, they should come up with the Incum Tax!