Amepatwa na ukichaa, inasemekana ana UKIMWI

Nadhani wewe huogopi mkuuπŸ˜ƒπŸ˜ƒ.. Huu ugonjwa usikie tu kwa watu, tena omba sana Mungu usiingie kwenye ukoo wenu maana nahisi inakuwaga kama laana sijui, kuna baadhi ya watu karibu familia nzima unaskia za chinichini kua wameungua
Hii ni alert, watu tushike handbrake kidogo. Sisi tusiopenda condom ni kuacha ngono zembe tu hamna namna.

Ni kweli kuna koo zimepukutishwa na hiv.
 
Ndiyo, asipoipokea na kuikubali hali ya uathirika, kichaa na hata kufa kwa mawazo ni suala la kawaida.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Hii ni alert, watu tushike handbrake kidogo. Sisi tusiopenda condom ni kuacha ngono zembe tu hamna namna.

Ni kweli kuna koo zimepukutishwa na hiv.
kwakweli kuacha inawezekana.. ila kwa mlioko kwenye ndoa ndo changamoto maana huwezi kumwambia mwenzio mtumie kinga πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
kwakweli kuacha inawezekana.. ila kwa mlioko kwenye ndoa ndo changamoto maana huwezi kumwambia mwenzio mtumie kinga πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Sema tulioko kwenye ndoa tuache kuchepuka, manake tunachepuka balaa..🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…