ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Hii ni alert, watu tushike handbrake kidogo. Sisi tusiopenda condom ni kuacha ngono zembe tu hamna namna.Nadhani wewe huogopi mkuu😃😃.. Huu ugonjwa usikie tu kwa watu, tena omba sana Mungu usiingie kwenye ukoo wenu maana nahisi inakuwaga kama laana sijui, kuna baadhi ya watu karibu familia nzima unaskia za chinichini kua wameungua
Ni kweli kuna koo zimepukutishwa na hiv.