Mi sio doctor najifunzaga kwenye maredio tuMengitis inatibiwaje
Niliwahi sikia amphotericin B kwa wiki mbili ila unastop izo za ukimwi
ISACK NDODI CLOUDS ALIWAHI IELEZEA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi sio doctor najifunzaga kwenye maredio tuMengitis inatibiwaje
Hio tena Mungu ila nilowaona wameteseka miezi kadhaa kwa mateso makubwa maumivu ya kichwa.Inachukua mda gani Hadi umauti
Aisee daaSasa si mpaka wamalize kutafuna ubongo
Aking'ata shuka ndo hatua ya mwisho?Atafute tiba haraka akidelay anaweza "kung'ata shuka" maana hiyo ni hatua ya mwishoni.
Tiba yake ni ipi hasaAtafute tiba haraka akidelay anaweza "kung'ata shuka" maana hiyo ni hatua ya mwishoni.
Kung'ata shuka ni kufa uwe unaelewa kidogoAking'ata shuka ndo hatua ya mwisho?
Vip tiba walipata amaHio tena Mungu ila nilowaona wameteseka miezi kadhaa kwa mateso makubwa maumivu ya kichwa.
Kupona ni muujiza kwa hatua alofikia ni hatari ila si unajua Mwenyeezi Mungu ni mkubwa humfanya alie hai akawa maiti alie maiti akawa hai yaani sikufichi chances huwa ndogo sana ikishafikia huko mtauguza weee mnapishana hospital mtaona huruma anavyoteseka kichwa ni HIV Stage 4 ambayo huwa ni kifo tuSasa anaweza akapona kweli huyu ndugu yangu
Aking'ata shuka ndo hatua ya mwisho?
Bila shaka , ila atapewa mwongozo mpyaJe kama aliacha akitumia atapona
Kavurugwa mwenzioKung'ata shuka ni kufa uwe unaelewa kidogo
Ooh nimeelewaKung'ata shuka means Kudanja.
Jamaa wamekujibu hapo ni meningitis ,maspeshelist wanajua tiba yake.Tiba yake ni ipi hasa
Je inapatikana ktk level ipi ya hospital..kituo Cha afya, wilaya ama hospital ya rufaa ya yamkoaJamaa wamekujibu hapo ni meningitis ,maspeshelist wanajua tiba yake.
Muulizeni kituo chake cha dawa au mpueni card yake huko ndo mpelekeni watampa huduma muongozo kama kumpeleka hospital ya rufaa mtaandikiwaJe inapatikana ktk level ipi ya hospital..kituo Cha afya, wilaya ama hospital ya rufaa ya yamkoa
Kuna magonjwa nyemelezi mengi tuu kama kinga ikishuka sana. Kampimeni wingi wa virus doctor atawapa ushauri utakaosaidia. Pole.Habar wakuu msaada wenu tafadhali.
Nna ndugu yangu wa kike umri miaka 45 amepatwa na ukichaa ghafla jioni ya Jana, January 28, 2024.
Sasa huyu ndugu yangu nasikia muda mrefu kuwa huwa nimuathirika. Je wakuu kunauhusiano wa ukimwi na kupatwa na kichaa.
Msaada wenu wakimawazo kwa anaefahamu