Amepatwa na ukichaa, inasemekana ana UKIMWI

Amepatwa na ukichaa, inasemekana ana UKIMWI

Sasa anaweza akapona kweli huyu ndugu yangu
Kupona ni muujiza kwa hatua alofikia ni hatari ila si unajua Mwenyeezi Mungu ni mkubwa humfanya alie hai akawa maiti alie maiti akawa hai yaani sikufichi chances huwa ndogo sana ikishafikia huko mtauguza weee mnapishana hospital mtaona huruma anavyoteseka kichwa ni HIV Stage 4 ambayo huwa ni kifo tu
 
Habar wakuu msaada wenu tafadhali.

Nna ndugu yangu wa kike umri miaka 45 amepatwa na ukichaa ghafla jioni ya Jana, January 28, 2024.

Sasa huyu ndugu yangu nasikia muda mrefu kuwa huwa nimuathirika. Je wakuu kunauhusiano wa ukimwi na kupatwa na kichaa.

Msaada wenu wakimawazo kwa anaefahamu
Kuna magonjwa nyemelezi mengi tuu kama kinga ikishuka sana. Kampimeni wingi wa virus doctor atawapa ushauri utakaosaidia. Pole.
 
Back
Top Bottom