Amepatwa na ukichaa, inasemekana ana UKIMWI

Amepatwa na ukichaa, inasemekana ana UKIMWI

Ukiwa na virus na ukatumia arv kipind cha awal alafu ukaacha unapata maweng
 
Habar wakuu msaada wenu tafadhali.

Nna ndugu yangu wa kike umri miaka 45 amepatwa na ukichaa ghafla jioni ya Jana, January 28, 2024.

Sasa huyu ndugu yangu nasikia muda mrefu kuwa huwa nimuathirika. Je wakuu kunauhusiano wa ukimwi na kupatwa na kichaa.

Msaada wenu wakimawazo kwa anaefahamu
Yap inatokea yupo mtu wa karibu na mimi, alianza ukichaa, wanasema ana majini lakini nilipinga apelekwe hospitali kweli kakutwa na miwaya, wanamkaba aanze kutumia dozi
 
Back
Top Bottom