heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 6,736
- 10,669
Wakuu msaada kwa ilo ni njia ipi rahis ya kupunguza wingi wa damu ukiacha ile ya kuchangia damu.
Jinsia yake ni Ke,
Jinsia yake ni Ke,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ako na 14.6 ila nikitiazama kwa mwanamke ni normal ila anaambiwa ni nyingi, naye anaumwa kichwa na ako na kizunguzunguDamu nyingi ngapi?
Hakuna njia nyingine zaidi ya Kutoa damu na kupunguza kula vyakula vya kuongeza damuAko na 14.6 ila nikitiazama kwa mwanamke ni normal ila anaambiwa ni nyingi, naye anaumwa kichwa na ako na kizunguzungu
Hapo ndo utachanganya wengi. "Ako na 14.6" hiyo "ako" ndipo tatizo litakapoanziaAko na 14.6 ila nikitiazama kwa mwanamke ni normal ila anaambiwa ni nyingi, naye anaumwa kichwa na ako na kizunguzungu
TangU nifike mombasa lafudhi imekua kipengeleHapo ndo utachanganya wengi. "Ako na 14.6" hiyo "ako" ndipo tatizo litakapoanzia
Mkuu Mimi navyojua hiyo ni normal tuAko na 14.6 ila nikitiazama kwa mwanamke ni normal ila anaambiwa ni nyingi, naye anaumwa kichwa na ako na kizunguzungu
Labda ana shida nyingine ila damu sio nyingi hiyo.Ako na 14.6 ila nikitiazama kwa mwanamke ni normal ila anaambiwa ni nyingi, naye anaumwa kichwa na ako na kizunguzungu
Bora nikachangia tu ila hii siweziAnywe maji ya limao Kwa wingi
🤣🤣Hospitali hawakumpa solution? Basi sisi watu wa mtaani tunamwambia apigane atolewe ngeu na damu