America should get ready for its fall

America should get ready for its fall

Nakimbizwa

Senior Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
154
Reaction score
302
All creatures on earth obey a dictatorship.

Nyuki wanamworship malkia bila kujua kwanini...kazi yake ni kuzaaa tu ila wao wanamtafutia kila kitu,chakula kumlimda na

Wananchi wote tunamtafutia Raisi wetu chakula maana yeye halimi.

Tunampa chakula plus Security, ili yeye atuongoze vile atakavyo maana hatuwezi kujiongoza wenyewe kwa umoja tunahitaji establishment ya kutuongoza.

Kwahy hamnatofauti kumwa kati ya nyuki na wanadamu.

ila democracy inadisobey law ya dictatorship among all creatures.

Hivyo marekani walijitahid kuanzia wapate uhuru miaka ya 1700's mpaka leo... ila inevitably binadamu wamechagua upande mmoja mkubwa kuliko yote uwaongoze.

Ambapo saivi wamarecan wamechagua kuwa libertarian.

Na kwa sasa cancel culture, democrats na woke and LGBT society ndiyo imeshikilia mpini kwasasa.

Wameshika Medias,police and institutions zote.

Kwahyo inevitably hakuna balance of power kati ya republicans and democrats.

Kwahyo needless to say kwa saivi Kamala ndiyo atashinda kumpita trump, na sio kwasababu ya kura bali ni kwasababu democrats wana power kubwa juu ya libertarians.

Wanacontroll a

Majority of thoughts and propaganda propagated through USA media are democraticish.

Na kwasababu all empires are doomed to fall whenever they gain absolute power,(eg. ROME, Ottoman, mongolian empires etc.) Democrats watashikilia power lakini wataanguka, pale marekani itakapoanguka na either communist au asian au islamic systems ndiyo zitatakeover na kutawala dunia.

America is falling.
 
Haya ndiyo yalikuwa mawazo kabla ya ukuta wa Berlin kuanguka! Warusi ulikuwa huwambii kitu. Walikuwa wanasema Marekani imebaki siku chache ianguke. Badala yake warusi ndiyo walioanguka. Udiktekta kamwe hautaweza kushinda uhuru wa mawazo. Na kadiri siku zinavyosonga na binadamu kujitambua ndivyo udiktekta unazidi kubomolewa.
 
Zamani nilikuwa na waza kama ww kwamba U.s.A ina watu wenye akili kumbe nilikuwa ninajidanganya
Huyu hajui msamehe...kwanza btw kuna nchi nyingi tu ambazo wananchi wake wana IQ kubwa on average kuliko americans, eg. China, Israel, Asia and even most European countries.
Sasa hvi wananchi wengi wa marekani ni delusional. Wanaishi kwenye bubble yao. Wanajiona miungu watu hawataki kujua kuhusu the rest of the world. Most americans are easy manipulated by medias.
Most Americans are dumb and gullible, especially hii generation Z.
Hayo plus, maswala ya LGBTQ , trans people identifying with anything they want, men playing in women sports etc. Ndiyo yanazidi kuwaporomaosha kabisa.
Watakuja kushtuka usingizini when its too late.
 
Endelea kuota USA huwezi linganisha na empire zilizopita hawa jamaa wana mipango ambayo iko well calculated.

Ipe miaka 100 mbele,ila kwa sasa sahau.
Miaka 100 mbele ndo watakuwa more powerfully
 
Endelea kuota USA huwezi linganisha na empire zilizopita hawa jamaa wana mipango ambayo iko well calculated.

Ipe miaka 100 mbele,ila kwa sasa sahau.
Yani huwezi kulinganisha work ethic/dedication ya msanii underground anayepambana atoke na yule star ambaye tayari mziki umeshamlipa ashakuwa na jina hata akitoa nyimbo mbaya inatrend.

Kwasasa America ashafika top kwahyo hana plans tena za kuendelea...amelewa na madaraka anaishi kwenye bubble ya delusion. Power corrupts.
China on the other hand is not a sleeping giant, but a a giant pretending to be asleep. I think that is even more scary about it.
China saivi ndiye ana mipango mingi sana ya kumvua marekani taji la usupapawa kuliko mipango aliyonayo marekani ya kumaintain taji la usupapawa.
 
Kwamba ukagundua ni wasio na akili ukilinganisha na akina nani?
Waliifikikisha hapo hawapo tena wapo aikina blink na Tony cruz wanaowaza kuweka vikwazo hata kwa makmpuni yao ambayo yamepambana kutafuta soko la,uhakika halafu anatokea mwanasiasa anasema amna kufanya kazi na yule
 
Hawa ndio wale wanaotoa laana wakumuomba Allah kila siku kwa kuchant Death to Israel Death to America mwishowe wanakufa wao tu.. Allah ni fabrication theory is not exist tatizo ni kwa wale wanaeneza stupid teachings tizameni Taleban na Iran
 
Nchi yenye uchumi wa 29 trillion alafu unawaza idondoke?
 
Miaka 100 mbele ndo watakuwa more powerfully
Hawa ndio wale wanaotoa laana wakumuomba Allah kila siku kwa kuchant Death to Israel Death to America mwishowe wanakufa wao tu.. Allah ni fabrication theory is not exist tatizo ni kwa wale wanaeneza stupid teachings tizameni Taleban na Iran
Uwepo au kutokuwepo kwa Allah hakuusuani chochote na huu uzi.
 
Back
Top Bottom