Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,537
- 13,004
Kwanza hilo jeupe hutoboi, kila afande ataka kula rushwa. Mara Oh, mbona gari liko refu hivi, oh vioo tinted haifai,🤣🤣🤣 ukiwakatia tu, wananyamaza. Kesho tena, mchezo huo huo, Afrika tuna balaawivu tuu 😀 ...
Americans bana wana migari yao ya kibabe sana😀😀😀
View attachment 1752733
View attachment 1752734