Librarian 105 JF-Expert Member Joined May 6, 2023 Posts 261 Reaction score 356 May 26, 2023 #1 Uchumi wake unaendelea kudorora kwa dola yake kuadimika, ukomo wa deni la taifa ni kitendawili.... Electrol collage! Je, tulaumu electrol collage kuchukua nafasi ya wananchi katika demokrasia?!
Uchumi wake unaendelea kudorora kwa dola yake kuadimika, ukomo wa deni la taifa ni kitendawili.... Electrol collage! Je, tulaumu electrol collage kuchukua nafasi ya wananchi katika demokrasia?!
The Icebreaker JF-Expert Member Joined Feb 11, 2018 Posts 22,278 Reaction score 65,817 May 26, 2023 #2 Ngoja waje wale wamarekani wa Tabora uone povu watakalo kutolea.
GreatSeal JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 1,785 Reaction score 3,094 May 26, 2023 #3 The Icebreaker said: Ngoja waje wale wamarekani wa Tabora uone povu watakalo kutolea. Click to expand... Hizi ni hadithi za kila mwaka hawa wanajua ulimwengu ulivyo
The Icebreaker said: Ngoja waje wale wamarekani wa Tabora uone povu watakalo kutolea. Click to expand... Hizi ni hadithi za kila mwaka hawa wanajua ulimwengu ulivyo
Librarian 105 JF-Expert Member Joined May 6, 2023 Posts 261 Reaction score 356 May 26, 2023 Thread starter #4 The Icebreaker said: Ngoja waje wale wamarekani wa Tabora uone povu watakalo kutolea. Click to expand... Ni tabu sana
The Icebreaker said: Ngoja waje wale wamarekani wa Tabora uone povu watakalo kutolea. Click to expand... Ni tabu sana
Cash Generating Unit JF-Expert Member Joined Jan 12, 2019 Posts 13,286 Reaction score 39,418 May 26, 2023 #5 Wanapambana na Debt ceiling