Ameshasaini tayari sasa tuelekeze macho Ukraine

Ameshasaini tayari sasa tuelekeze macho Ukraine

Defence contractors wanaombea vita iendelee, maana kwa sasa zana zao zinatumika ipasavyo

Northrop Grumman, Lockheed Martin

Hawa wanafurahi sana maana kila dakika dollar zinazama benki

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Putin kamwambia kiduku test moja kwanza limepita anga ya wajapan wamejambamba mpaka wameambiwa wajifiche jiulize mbona kuna air defence ya marekani
 
Mkuu huyu anatia sini makaratasi tu Kremlin ishaanguka kitambo tu Donbas haiko tena controled na Russia, Ukrean washarudisha miji

Mkuu huyu anatia saini makaratasi tu Keremlin ishaanguka kitambo Donbas toke Ijumaa aliyosherehekea Jumamosi watu wakapiga mzigo kurejesha hayo majimbo aliyopiga kura kimchongo
View attachment 2377638
Hizo 2000km wata rudishwa nyuma km 4000 ndani ya siku 1 tu. Subiri Vijana waletwe 300,000.
 
Back
Top Bottom