Ameshasaini tayari sasa tuelekeze macho Ukraine

Defence contractors wanaombea vita iendelee, maana kwa sasa zana zao zinatumika ipasavyo

Northrop Grumman, Lockheed Martin

Hawa wanafurahi sana maana kila dakika dollar zinazama benki

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Putin kamwambia kiduku test moja kwanza limepita anga ya wajapan wamejambamba mpaka wameambiwa wajifiche jiulize mbona kuna air defence ya marekani
 
Hizo 2000km wata rudishwa nyuma km 4000 ndani ya siku 1 tu. Subiri Vijana waletwe 300,000.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…