Ameshikilia vyeti vya taaluma

Ameshikilia vyeti vya taaluma

Ngurubhe

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2014
Posts
1,840
Reaction score
1,049
Wadau nadhani wengi mtakuwa mnashitushwa na hili,lakini ninamdogo wangu ambae alishwahi kufanya kazi katika taasisi fulani kwa mda wa miaka takribani miwili,na kisha akaenda masomoni.

Akiwa anafanya kazi katika taasis ile aliambiwa hatoripwa mshahara bali posho,na kuwa angesapotiwa akiwa masomoni lakinj akimalza ataamua kurdi katika taasisi ile au laa.
Akiwa mwaka wa pili chuo wale watu walimchanjia kuwa kama hatowapa vyeti basi hawatoendelea kumsapoti,nayeye kwa hofu aliwapa vyeti

Sasa amemaliza masomo yake na anataka kuwaajiliwa serikalini kulingana na kutofuruhishwa na mienendo ya mkuu wa kituo(taasisi hio kwa sasa) na wenye taasis wao wanataka awepo hapo na yeye hakika hataki.

Je kuna msaada wowote kisheria anaweza kuupata? Ili apate vyeti vyake?
Msaaada wa japo mawazo watalaam!
 
Do not negotiate when your hungry, angry or in need.
 
Alibugi alipowapa vyeti.....wao ndo wameshikilia makali sasa. Ana negotiate nao tu...
 
Back
Top Bottom