Ameuteka Moyo Wangu!!!!

Is this a body language? Kwa kweli kama ni test leo hii nimeshafeli..... Tafadhali nisaidie kamusi ya lugha hii..... Au ndio hadi mark-up test?
 

Huu ndio ukweli, fanya kila kinachowezekana yeye akuelewe, usijaribu kumwambia utaharibu kila kitu... tatizo ni kuwa hiyo siyo kawaida yetu, at the end of the day atakuona huko sawa, au umetahayari.. tumia njia nyingine zote yeye akuelewe na mfikie lengo lako!!!
 


Katika yote uliyoongea hapo juu, Nimependa hapo ulipoweka recommendation kwenye RED, !Nawasilisha
 
Kweli kabisa, mi mwenyewe naamini mtu ukiwa na hisia juu ya mtu unamwambia ili uwe free ila akinifikiria hivyo je na mimi ni mwanamke?! Inabidi niwe na kifua kweli kweli cha kumwambia.

Acha utani wewe, tena ucthubutu kumwambia.. Kama kweli unamtaka, mtengenezee mvuto...
 

hakyanani hizo sifa zote ninazo (shahidi wangu dikshineri la oxford), nianzishe mgogoro na waifu nini? nimemiss kweli ile kuvaa suti la harusi.
 

LOL Sio wote luv, ila mi naunga mkono ushauri wako murua kwa BJ.....
 
LOL Sio wote luv, ila mi naunga mkono ushauri wako murua kwa BJ.....

luv mie nahic ku approach kuna ugumu wake, nyie wanaume tu tunawaonaga mnavyojikanyaga(baadhi), ijekuwa mwanamke aanze? mie nadhani ili pia aheshimike mbeleni na huyo kaka ni bora amtege tu kaka aanze mwenyewe..
 
luv mie nahic ku approach kuna ugumu wake, nyie wanaume tu tunawaonaga mnavyojikanyaga(baadhi), ijekuwa mwanamke aanze? mie nadhani ili pia aheshimike mbeleni na huyo kaka ni bora amtege tu kaka aanze mwenyewe..
dah nyamayao ! nilipoona nick yako tu tayari nishasahau hata pesiwedi yangu ya JF, moyo unaenda antiklokwaiz, jasho la sharubu linanitoka.

za masiku dada?
 
dah nyamayao ! nilipoona nick yako tu tayari nishasahau hata pesiwedi yangu ya JF, moyo unaenda antiklokwaiz, jasho la sharubu linanitoka.

za masiku dada?

yaani umenipamba weee....lol...mie mzima wa afya njema hofu kwako kipenzi.
 

Usijali, I don't judge people kirahisi..umenifurahisha lakini,pia kusikia una hizo sifa nilizotaja za huyo mkaka lazima moyo wako ulishtuka na kuhisi ni wewe ulivyosoma thread hii..pole kwa kukushtua..ha ha
Well plan B kwenye haya mambo haikosekani hadi plan C mana A&B zinaweza kukwama si unaelewa..
Acha nimgojee huu mkaka huenda kabla ya 31Dec anaweza kunifuata mwenyewe..nitakuhabarisheni!! ha ha



Kama mimi, inategemea ni yule ninayemfikiria au la. Maana mtu hula chakula inayofurahisha moyo wake ati. Mara nyingi huwa inakuwa yule unayempenda sana hakuoni au yuko busy sehemu ambayo wala hapendwi hata kidogo.

mmh kweli kumbe shughuli ni ngumu sana hii ya kupenda mtu mana unaweza kuwa hufikiriwi kabisa hata top 10..sasa imewahi kutokea wewe umemzimia mdada lakini hajakupokea moyoni mwake??unajisikiaje?au ndo wanaume mnazoea na ni kawaida kuliko ikiwa vice-versa?




Jamani hata safari si inamwisho hata kama ni umbali gani..na mtu ukisikia kiu lazima unywe maji ndo upoe..
Uvumilivu ni jambo bora, inabidi nijifunze kuwa mvumilivu zaidi sanasana kwenye hili..japokuwa siwezi kutabiria hiyo safari yetu itakavyokuwa lakini kwa sasa naona yeye ndo kama ameshushwa for me..sent from heaven yani acha tu




Jamani Mwanakijiji, huu msongamano wa mawazo umeanza karibuni baada ya huyu kaka kukaa akilini mwangu kupita maelezo..yani kama haelewi na kupata hisia na yeye hadi sasa inabidi tumfungulie mashtaka mana anitesa na mie kumuwaza hivi bila kutatua tatizo..
Asante kwa ushauri mkubwa wangu, nitaitunza thamani yangu huku nikiwa na mitego kadhaa ili anase yeye na kunitamkia...
Hiyo staili ya goma huku unaenda imetulia mana unakuwa 50/50..
 
LOL Sio wote luv, ila mi naunga mkono ushauri wako murua kwa BJ.....

Hommie hebu nambie....umekuja kushauri au kuunga mkono ushauri? Na ile kesi yako iliyo kwa teamo unaijibu lini....
 
Swallow ur pride... Attack like an eagle!!
 
Usisubiri hisani ya watu wa Marekani, Mpe ukweli uone na yeye atahamasika vipi, waweza kuta na yeye mate yanamdondoka tu lkn kashindwa kukuambia
 

Kweli yana uzito sana..nimekusoma Rose besti na nitazingatia hizo lugha za malaika..
hii hali sijui nikuelezee inatokeaje, ni automatic na yani inakuja kutokana na pale hisia zako zimeanguka bila kuzipanga makusudi..
Shukrani mamii..wacha niangalie upepo unaendaje!!


nimekumbuka kitabu cjui cha willy gamba 'naapa sitarudia kupenda' good luck sweetheart kama si yeye basi yupo aliyeandaliwa na anayeutambua umuhimu wako

Hicho kitabu inaelekea kizuri...thanx dearest, tuone mwisho wake mana kila mwanzo una omega yake..

...tormented with a secret crush! ...basi BJ, 'mfungulie' tu yaliyo moyoni mwako.
Vunja mwiko, ...take it to another level, ---sogeza urafiki karibu---, kisha sema nae.

Yani nikimuwaza wimbo wa "love is all around-Wet Wet Wet" unaclick akilini mwangu..
I just hope azinduke na kunifeel ghafla niwe huru,lol


Bora nimeshaicha hiyo habari, I guarantee!!!!

Habari gani Ndahani?!!..umenishtua


hongera kwa kuvunja ukimya!ni pm nikufundishe,mimi wanaume wote niliowahi kuwapenda nilijua jinsi ya kuwaingiza line na hakuna aliyepindua waliingia kichwa kichwa!

Haya Faithful nitakupm unipe fundo hilo...mana inaelekea una ujuzi huo, ila nia yangu nimpate siyo kumpoteza mamii..


haaaaaah mapenzi mpira wa kona, jitose mzima mzima, utarudi hapa kuutumbia tu

Sasa hunipi hata utabiri nikijosa mzima mzima jamani...lolote litakalojiri nitawaambia!!




anaweza kuwa special kwangu lakini sijui kama na yeye ananichukulia hivyo ndiyo mana nimesema urafiki wa kawaida..laiti ungejua natamani iwe special friendship hata sasa lakini bado sijajua moyo wake kama uko kwangu..
Asante nitatumia hizo lugha za mwili na kuona mambo yanaendaje..ushauri mzuri Geofrey,thx



Ama nimekusoma na shukrani..kama ulivyosema we live only once, so life is meant to be spent accordingly na kufurahia kadri tuwezavyo ila vizingiti maishani havikosekani tena kama unahitaji kitu na hukipati..
Sawa tuone mwelekeo..kama ni wangu atakuwa wangu au siyo



Nimemuelewa Cheusi...basi nitafanya kila jitihada anielewe!!..vinginevyo nisingependa kumpoteza wala kuendelea kumwona kama rafiki tu


Katika yote uliyoongea hapo juu, Nimependa hapo ulipoweka recommendation kwenye RED, !Nawasilisha

Yani hiyo imetulia pia nimeona..thanx to Geofrey kwa kuipont out!!


Acha utani wewe, tena ucthubutu kumwambia.. Kama kweli unamtaka, mtengenezee mvuto...

Jamani ulivyonishupalia, sijamwambia ndiyo mana nauliza nifanyeje mana naamini imewahi kuwatokea hali kama hii watu kadhaa humu ndani..haya subiri nimwandalie mvuto mwanana..shukran
 
dah nyamayao ! nilipoona nick yako tu tayari nishasahau hata pesiwedi yangu ya JF, moyo unaenda antiklokwaiz, jasho la sharubu linanitoka.

za masiku dada?
Taratibu kidonge cha malaria. si magonjwa yote ni malaria. magonjwa mengine tunatibu sisi huku martenity ward.
 
hakyanani hizo sifa zote ninazo (shahidi wangu dikshineri la oxford), nianzishe mgogoro na waifu nini? nimemiss kweli ile kuvaa suti la harusi.

Basi ulishtuka mwenyewe eeh..ha ha usianzishe mgogoro hapo home mana hapatalalika mweh!!
Inaelekea huyu kaka ni pacha wako au mnaendana kwa hizo sifa..sema tu hajaoa


LOL Sio wote luv, ila mi naunga mkono ushauri wako murua kwa BJ.....

Kaizer nahisi inategemeana na watu japokuwa huwezi kumsoma tu kwa paji la uso na kujua huyu ni hivi na hule ni vile..love wako kanipa ushauri mwanana..umewahi kupendwa na kuambiwa na mdada?ilikuwaje?be honest,lol


Yuko na mwingine.. Anaitwa DA sijui vile.......

DA? ndo yupi yule Dreamliner? Teamo kanifurahisha kweli kwa comment yake🙂))


Mbu..........aksante kwa twishen kaka. Big Up

Si mchezo maridadi..nahisi anafaa kwenye beg parties pia..ha ha


Swallow ur pride... Attack like an eagle!!

Mkeshahoi umenikumbusha pia wimbo wa The Temptations " Ain't too proud to beg"
Thanx mkuu


Usisubiri hisani ya watu wa Marekani, Mpe ukweli uone na yeye atahamasika vipi, waweza kuta na yeye mate yanamdondoka tu lkn kashindwa kukuambia

Mpaka wapitishe hao wahisani si atakuwa ameshakamatwa na mwingine..namuombea afeel the same ili tuongee lugha moja..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…