Ujinga gani tenaAcha ujinga basi rafiki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujinga gani tenaAcha ujinga basi rafiki
Logically you are correct but,, lakini ni dam yake mkuuu,,mtoto wake,,mbegu zake mkuuJamaa hana kosa, alishweka kila kitu bayana apufronti
dada yako kajilengesha kupima upepo
Umuue mdogo wako ili iweje. Umevuta bangi leo?Ujinga gani tena
Ndio mzeya, inaitwa honor killing...ata mbinguni inakubalika hiyo. Unakuwa unakemea uzinziNimuue dada ang tena?[emoji849]
Just a coincidence mkuu but this has happened to my sister.Hio hadithi inamhusu askari daktari wa hospitali pale FFU Morogoro, Msukuma mmoja kazalisha demu wa kimbulu mixer na mchaga, hana habari na mtoto na mtoto chatq lake, nilikutana hii story Samaki samaki wkend ilopita nikiwa nakuja Dodoma
usiangalie matokeo, anza na sababu, kwanini ajilengeshe ?Logically you are correct but,, lakini ni dam yake mkuuu,,mtoto wake,,mbegu zake mkuu
Tunakomesha uzinzi bestyUmuue mdogo wako ili iweje. Umevuta bangi leo?
Ni true imemtokea dada ang,,lakn amin as you wish siwez kukilazmsha kuniamn.Hii habari yako iko wazi inamhusu huyo huyo mdada na huyu mtoto sio kwanza kwake. Na huyo sio dada yako umezuga. Dr.criminal mmmmhhhh kuna ishara hapa
No[emoji23][emoji23],linaanza na FHuyo Dada jina lake linaanzia na C
Huyo dada alikuwa anachagua sana Wanaume, alikuwa anaringa sana. Ana Kibuli sana.
Sahihi mkuu[emoji1666]Binadamu kwa ubinafsi na tamaa zetu tunakuja kuwapa tabu watoto bila sababu yeyote.
Mtu ushaamua kuzini na mume wa mtu ambae keshakwambia hataki mtoto na wewe zaidi ya kufanyana tu. Kwa uzembe wako (ni uzembe maana kuna njia nyingi za kuzuia mimba) unaenda kushika ujauzito.
Japo tunajidanganya kila kiumbe kinakuja na rizki yake lakini pia tukumbuke kila mtoto ana haki ya mapenzi ya wazazi wote kama wapo hai.
Baadae utasikia watu wanamlaumu mwanaume kwa kutelekeza mtoto ambae alishaweka wazi toka awali kabla hata ya mimba kuwa hamuhitaji.
Mwambie dada kuwa yeye ni single mother rasmi apambane na hali yake.
Sawa mkuu[emoji23][emoji1787]Hivi mtoto huwa ni wa baba pekee?Wanawake acheni kujilegeza.Alee mtoto aache chiriku zake.
Haya ni maajabu ya dunia.Tunakomesha uzinzi besty
@bintimkongw achana na mzabzab huyo atakuimiza kichwa akili zake mwenyew hazimtoshi [emoji23]Sijui uko dini gani lakini kama ni muislamu inafaa ufanye istighfar. Kwa nini umuue wakati kila mtu ana maisha yake na ataingia kaburini kwake pale atakapokufa na atakwenda kutukatana na hukumu ya Mwenyezi Mungu peke yake?
Ati jina la familia linachafuliwa, kwani nyinyi wanaume si kila siku humu munakuja kujisifu kwamba munatembea na wake za watu na baadhi yenu hata kusema mumewazalisha?
Kiufupi dada yako apambane na hali yake. Alijua ni mume wa mtu akaendelea nae, akapewa warning asizae kiherehere chake akabeba mimba.Wakuuu.
Dada yangu (mtoto wa mama yangu mdogo) alipewa ujauzito na mwanaume ambaye ameshaoa na wamezaa na huyo mke wake. Dada yangu alikuwa anajua kwamba huyo mwanaume ni mume wa mtu na alishawahi kuambiwa na huyo mwanaume, "kama unavyojua mimi ni mme wa mtu, kwahiyo we niambie vyote ila usije kuniambia habari za umeshika mimba yangu!"
Kwahiyo baada ya kuunasa ujauzito alifikiria sana ile kauli aliyoambiwa na jamaa tangu mwanzo lakini haikumzuia kumpa hiyo taarifa kwamba "Bwana nna ujauzito wako". Jamaa bila kupepesa macho akamjibu "Nadhani hilo swala nilishaliongea tangu zamani, kwahiyo kama una hoja nyingine lete, ila kuhusu hiyo habari ya ujauzito sijui mimi siitambui".
Dada Yangu akamuuliza kwahiyo ichi kiumbe chako vipi? Jamaa akamjibu simple tu "Utajua wewe, utakachoamua ndiyo hicho hicho kwangu mimi sawa tu, kwanza usinisumbue isije mke wangu akajua halafu ukaniaribia ndoa yangu". Dada akabaki tu ameduwaa!
Mpaka ujauzito unafikisha miezi mitatu alikuwa anaogopa kuwaambia nyumbani, lakini kama ujuavyo mimba ya binadamu haifichiki labda ya kuku. Siku ya siku tumbo hilo, kumuuliza vipi akajibu kama mnavoona au hamjaelewa nini, wakamjibu sawa. Kimbembe kikaja kwenye kumtaja aliyempa huo ujauzito, mpaka saizi hivi mtoto kazaliwa juzi tu hapa ana kama wiki mbili hivi dada hajamtaja aliyempa ujauzito na hana mpango wa kuwatajia. Anawajibu tu "Jaman eeh aliyenipa ujauzito mwenyewe hata haeleweki, kwahiyo achaneni naye. Nyie mniangalie mimi angekuwa mtu wa kueleweka kwanza mngeshamuona hapa".
Hiyo story yote kuhusu huyo mwanaume ni nani, ni mimi nilimchimba akanipa mkasa mzima na akasisitiza nisiawaambie wazee. Nikamuuliza kwanini hakutoa (kwa kumtega tu nijue anachowaza, maana mimi ni miongoni mwa watu tunaopinga vikali iko kitendo).
Akanijibu "Nimefanya ushenzi mwingi sana uko, sasa hivi naogopa nisije kupoteza uzazi wenyewe", nikamuelewa. Baada ya kijifungua hapo juzi nikaauliza vipi umempa taarifa, akaniambia "Ujauzito aligoma kuhudumia, tarehe zilivokarbia za kijifungua nikamtaarifa akanijibu vilevile nItajua mimi, ye hayamuhusu".
Kwahiyo sasa hivi dada yupo tu nyumbani analea mtoto kama single mother, baba ye hataki kujua.
Maswali nnayo jiuliza:
1. Huyo jamaa hana hata shauku ya kumuona mwanawe?
2. Dada aliwaza nini kutoka na mume wa mtu?
3. Dada atakujaje kumsimulia mjomba hadithi ya baba yake?
4. Dada atamjibu nini mjomba siku mjomba akitaka kujua alipo baba yake?
5. Dunia ina mengi, kwenye kupita huku na huku dogo anagundua yule ni baba ake, atamchukuliaje?
6. Watoto wa yule jamaa watamchukuliaje mjomba wakija kugundua ni mdogo wao?
7. Yule jamaa si anatengeneza Mond na dimpoz mwingine?
Dunia ina mengi.
#OneDayYouWillBeGone.
Dr. criminal.
Michepuko, michepukooooooooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]Me mwenyew ninako kamoja kanajua kabisa mm ni mume wa mtu na nina watoto watatu wote wa kiume. Mwanzo baada ya kukatongoza tukakubaliana sisi ni kupelekeana moto tu na kula bata za hapa na pale na ni lazima kuvaa mpira. Sasa siku zinavyozidi kwenda mara ananiambia nataka kunizalia mtoto wa kike, me namchora tu. Nilimpotezea siku mbili tatu hapa akachanganyikiwa hadi kaniweka status za whatsapp[emoji1787][emoji1787]. Nina mpango nimkimbie
Mama yako nae hana akili itakuwamtu anakuambia usimletee habari za mimba, mean kwamba hana malengo na wewe na still bado unaenda kumpanulia miguu🤔
Dah! nikiitwa mwanamke napigana, na nitapiga mtu sio kwa sababu sipendi hiyo jinsia ila tu sipendezwi na akili zao.
Uzinzi wangu tunaukomesha kwa mie kukuwowa weweHaya ni maajabu ya dunia.
Wewe uzinzi wako tuukomeshe vipi?
Saa zingine unajitoaga ufahamu
Ila we jamaa[emoji1787][emoji1787]Eeh tatizo ni la wazazi pia wajinga. Wee mzazi mtoto wako anagegeda warembo huko nje unakenua meno tuu. Upuuzi huo. Mzazi unapaswa kulinda heshima la jina lako ata kwa kumwaga damu. Mtoto wako anazini wee unamuangalia tuu, sijui anakuwa mqizi unacheka tuu. Hao ni kukamata na kuchinja tuu. Aisee bahati mbaya tuu siwezi zalisha ila mie watoto wangu wangukuwa wamenyoka vilivyo. Hapana lea upuuzi. Mtoto wako anakuja kuzalia kwako wee unaangalia tuu.loh!