Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaKama alishaambiwa Kila kitu mapema bas kaka wa watu hana shida, dadaako atulie tu alee mwanae, hayo maswala ya mjomba yatajulikana mbele kwa mbele
Nina mama yangu mkubwa ana mkasa kama huu,lakini amini nakwambia Kuna Watu walimpenda Kwa dhati dada Yako, akachomoa...wanawake ndo walivyo..Wakuuu.
Dada yangu (mtoto wa mama yangu mdogo) alipewa ujauzito na mwanaume ambaye ameshaoa na wamezaa na huyo mke wake. Dada yangu alikuwa anajua kwamba huyo mwanaume ni mume wa mtu na alishawahi kuambiwa na huyo mwanaume, "kama unavyojua mimi ni mme wa mtu, kwahiyo we niambie vyote ila usije kuniambia habari za umeshika mimba yangu!"
Kwahiyo baada ya kuunasa ujauzito alifikiria sana ile kauli aliyoambiwa na jamaa tangu mwanzo lakini haikumzuia kumpa hiyo taarifa kwamba "Bwana nna ujauzito wako". Jamaa bila kupepesa macho akamjibu "Nadhani hilo swala nilishaliongea tangu zamani, kwahiyo kama una hoja nyingine lete, ila kuhusu hiyo habari ya ujauzito sijui mimi siitambui".
Dada Yangu akamuuliza kwahiyo ichi kiumbe chako vipi? Jamaa akamjibu simple tu "Utajua wewe, utakachoamua ndiyo hicho hicho kwangu mimi sawa tu, kwanza usinisumbue isije mke wangu akajua halafu ukaniaribia ndoa yangu". Dada akabaki tu ameduwaa!
Mpaka ujauzito unafikisha miezi mitatu alikuwa anaogopa kuwaambia nyumbani, lakini kama ujuavyo mimba ya binadamu haifichiki labda ya kuku. Siku ya siku tumbo hilo, kumuuliza vipi akajibu kama mnavoona au hamjaelewa nini, wakamjibu sawa. Kimbembe kikaja kwenye kumtaja aliyempa huo ujauzito, mpaka saizi hivi mtoto kazaliwa juzi tu hapa ana kama wiki mbili hivi dada hajamtaja aliyempa ujauzito na hana mpango wa kuwatajia. Anawajibu tu "Jaman eeh aliyenipa ujauzito mwenyewe hata haeleweki, kwahiyo achaneni naye. Nyie mniangalie mimi angekuwa mtu wa kueleweka kwanza mngeshamuona hapa".
Hiyo story yote kuhusu huyo mwanaume ni nani, ni mimi nilimchimba akanipa mkasa mzima na akasisitiza nisiawaambie wazee. Nikamuuliza kwanini hakutoa (kwa kumtega tu nijue anachowaza, maana mimi ni miongoni mwa watu tunaopinga vikali iko kitendo).
Akanijibu "Nimefanya ushenzi mwingi sana uko, sasa hivi naogopa nisije kupoteza uzazi wenyewe", nikamuelewa. Baada ya kijifungua hapo juzi nikaauliza vipi umempa taarifa, akaniambia "Ujauzito aligoma kuhudumia, tarehe zilivokarbia za kijifungua nikamtaarifa akanijibu vilevile nItajua mimi, ye hayamuhusu".
Kwahiyo sasa hivi dada yupo tu nyumbani analea mtoto kama single mother, baba ye hataki kujua.
Maswali nnayo jiuliza:
1. Huyo jamaa hana hata shauku ya kumuona mwanawe?
2. Dada aliwaza nini kutoka na mume wa mtu?
3. Dada atakujaje kumsimulia mjomba hadithi ya baba yake?
4. Dada atamjibu nini mjomba siku mjomba akitaka kujua alipo baba yake?
5. Dunia ina mengi, kwenye kupita huku na huku dogo anagundua yule ni baba ake, atamchukuliaje?
6. Watoto wa yule jamaa watamchukuliaje mjomba wakija kugundua ni mdogo wao?
7. Yule jamaa si anatengeneza Mond na dimpoz mwingine?
Dunia ina mengi.
#OneDayYouWillBeGone.
Dr. criminal.
Ndiyo siyo zenu lakini mnataka kuzimiliki kwa kutumia kigezo cha kuzaa ili mpate huduma bora! laiti mgejua mnazaa na mume wa mtu wakati huyo.ume ana watoto wengi sana, inatarajia kukupa matunzo ya mtoto wakati yeye mwenyewe ana mtoto kibao lazima atakutelekezea mtoto tu.Sawa lakin sio zetu izo pesa
SawasawaNdiyo siyo zenu lakini mnataka kuzimiliki kwa kutumia kigezo cha kuzaa ili mpate huduma bora! laiti mgejua mnazaa na mume wa mtu wakati huyo.ume ana watoto wengi sana, inatarajia kukupa matunzo ya mtoto wakati yeye mwenyewe ana mtoto kibao lazima atakutelekezea mtoto tu.
Wewe hutaki maisha mazuri?Tatizo la kutembea na mume wa mtu ni hilo.
Nina dada yangu anatembea na top mmoja.
Kajengewa white house huko Kigamboni.
Wana miaka mitano.
Na jamaa kila mwezi anampa million 3 ya matumizi hii haijumlishi vibomu vya hapa na pale anavyompiga na kamfungulia sonara ya maana sana mjini hapa lakini mwanaume suala la mtoto hataki kabisa.
Sasa namuambia dada we utaishi hivyo hadi lini?
Anasema sielewi itakapoishia ndo hapo hapo.
Na si kama wanajificha wapo free sana ni kama vile mke sema hajamuoa.
Ila jamaa mtoto alishasema toka day one hataki mtoto na akisema siku ana mimba ndo mwisho wao.
Nachoshangaa huo mjengo na hizo mali bila mtoto nyumba si inapooza sana?
Aisee mie siwezi bora nile bamia kila siku lakini niwe na watoto.
Watoto raha sana.
Kwani wewe huko nje huto... Mbi dada wa watuMie nikiwaambiene kuwa uzinzi tunaendekeza sie wenyewe ndugu mnasema oh mzabzab katili.
Wee kama kaka umetia aibu. Ingekuwa mie mbona tayari walishanihukumu kufa kwa kunyongwa maana kwanza kabisa huyo dada yangu ningemuua mwenyewe kwa mikono yangu na polisi najipeleka. Kaka mtu unaachaje jina la familia linachafuliwa?
Tunagegeduana bwana lakini sio vizuriKwani wewe huko nje huto... Mbi dada wa watu
🤣🤣🤣🤣 tatizo sijapata nafasi hiyoWewe hutaki maisha mazuri?
Ndo mama zetu, dada zetu, rafiki zetu, watoto wetu[emoji28]Tatizo la wanawake huwa wanajibebesha mimba ili kumteka mume wa mtu, huwa wanazaa ili na wao waingie kwenye mgao wa mali na wanakua wanaamini kwamba mume yule atahamisha mapenzi kutoka kwa mkewe kwenda kwake ili mke achoke aolewe yeye. Wanawake kama nyinyi mpo na mnasoma hapa mfe!
Kuzaa na mume wa mtu nikumnyima mtoto haki zake za msingi hasa kuwa karibu na baba yake.lakin ameshafanya makosa imetokea asijali asonge mbele amleee mtoto wake.atafakari watoto wangapi wamezaliwa na hawajakuta wazazWakuuu.
Dada yangu (mtoto wa mama yangu mdogo) alipewa ujauzito na mwanaume ambaye ameshaoa na wamezaa na huyo mke wake. Dada yangu alikuwa anajua kwamba huyo mwanaume ni mume wa mtu na alishawahi kuambiwa na huyo mwanaume, "kama unavyojua mimi ni mme wa mtu, kwahiyo we niambie vyote ila usije kuniambia habari za umeshika mimba yangu!"
Kwahiyo baada ya kuunasa ujauzito alifikiria sana ile kauli aliyoambiwa na jamaa tangu mwanzo lakini haikumzuia kumpa hiyo taarifa kwamba "Bwana nna ujauzito wako". Jamaa bila kupepesa macho akamjibu "Nadhani hilo swala nilishaliongea tangu zamani, kwahiyo kama una hoja nyingine lete, ila kuhusu hiyo habari ya ujauzito sijui mimi siitambui".
Dada Yangu akamuuliza kwahiyo ichi kiumbe chako vipi? Jamaa akamjibu simple tu "Utajua wewe, utakachoamua ndiyo hicho hicho kwangu mimi sawa tu, kwanza usinisumbue isije mke wangu akajua halafu ukaniaribia ndoa yangu". Dada akabaki tu ameduwaa!
Mpaka ujauzito unafikisha miezi mitatu alikuwa anaogopa kuwaambia nyumbani, lakini kama ujuavyo mimba ya binadamu haifichiki labda ya kuku. Siku ya siku tumbo hilo, kumuuliza vipi akajibu kama mnavoona au hamjaelewa nini, wakamjibu sawa. Kimbembe kikaja kwenye kumtaja aliyempa huo ujauzito, mpaka saizi hivi mtoto kazaliwa juzi tu hapa ana kama wiki mbili hivi dada hajamtaja aliyempa ujauzito na hana mpango wa kuwatajia. Anawajibu tu "Jaman eeh aliyenipa ujauzito mwenyewe hata haeleweki, kwahiyo achaneni naye. Nyie mniangalie mimi angekuwa mtu wa kueleweka kwanza mngeshamuona hapa".
Hiyo story yote kuhusu huyo mwanaume ni nani, ni mimi nilimchimba akanipa mkasa mzima na akasisitiza nisiawaambie wazee. Nikamuuliza kwanini hakutoa (kwa kumtega tu nijue anachowaza, maana mimi ni miongoni mwa watu tunaopinga vikali iko kitendo).
Akanijibu "Nimefanya ushenzi mwingi sana uko, sasa hivi naogopa nisije kupoteza uzazi wenyewe", nikamuelewa. Baada ya kijifungua hapo juzi nikaauliza vipi umempa taarifa, akaniambia "Ujauzito aligoma kuhudumia, tarehe zilivokarbia za kijifungua nikamtaarifa akanijibu vilevile nItajua mimi, ye hayamuhusu".
Kwahiyo sasa hivi dada yupo tu nyumbani analea mtoto kama single mother, baba ye hataki kujua.
Maswali nnayo jiuliza:
1. Huyo jamaa hana hata shauku ya kumuona mwanawe?
2. Dada aliwaza nini kutoka na mume wa mtu?
3. Dada atakujaje kumsimulia mjomba hadithi ya baba yake?
4. Dada atamjibu nini mjomba siku mjomba akitaka kujua alipo baba yake?
5. Dunia ina mengi, kwenye kupita huku na huku dogo anagundua yule ni baba ake, atamchukuliaje?
6. Watoto wa yule jamaa watamchukuliaje mjomba wakija kugundua ni mdogo wao?
7. Yule jamaa si anatengeneza Mond na dimpoz mwingine?
Dunia ina mengi.
#OneDayYouWillBeGone.
Dr. criminal.
😆😆😆Tatizo la wanawake huwa wanajibebesha mimba ili kumteka mume wa mtu, huwa wanazaa ili na wao waingie kwenye mgao wa mali na wanakua wanaamini kwamba mume yule atahamisha mapenzi kutoka kwa mkewe kwenda kwake ili mke achoke aolewe yeye. Wanawake kama nyinyi mpo na mnasoma hapa mfe!
Kama ni kweli huyo jamaa sio mngwana ndio mana mnaambiwa waambien dada zenu wazae na WACHAGA tu kwasababu wanaume wakichaga hawaachi damu Yao hata siku Moja Tena hata kumuiba mtoto Huwa wanaiba sasa ww unazaa na WAHAYAWakuuu.