Dr criminal
JF-Expert Member
- May 16, 2022
- 2,282
- 4,316
- Thread starter
- #141
[emoji23][emoji23][emoji1787]We umkimbie uende wapi?
Huyo ni wakwako.
Maana huba limetaradadi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji1787]We umkimbie uende wapi?
Huyo ni wakwako.
Maana huba limetaradadi.
Ni vipi kuhusu huyo dada ako kuzaa na MWANAUME mwingine[emoji848]Tatizo la kutembea na mume wa mtu ni hilo.
Nina dada yangu anatembea na top mmoja.
Kajengewa white house huko Kigamboni.
Wana miaka mitano.
Na jamaa kila mwezi anampa million 3 ya matumizi hii haijumlishi vibomu vya hapa na pale anavyompiga na kamfungulia sonara ya maana sana mjini hapa lakini mwanaume suala la mtoto hataki kabisa.
Sasa namuambia dada we utaishi hivyo hadi lini?
Anasema sielewi itakapoishia ndo hapo hapo.
Na si kama wanajificha wapo free sana ni kama vile mke sema hajamuoa.
Ila jamaa mtoto alishasema toka day one hataki mtoto na akisema siku ana mimba ndo mwisho wao.
Nachoshangaa huo mjengo na hizo mali bila mtoto nyumba si inapooza sana?
Aisee mie siwezi bora nile bamia kila siku lakini niwe na watoto.
Watoto raha sana.
Hakika mkuu.Huyo hayupo miongoni mwa wenye misimamo ya kutokuzaa nje.wenye misimamo hiyo inatarajiwa wasifanye ngono na wasio wake zao au wawe consistent condom users.
Sure thing,,hata iweje dam yako ni dam yako tuNi upumbavu kukataa damu yako,hakuna kinachoweza justify hilo.
Sure thingHuyo hayupo miongoni mwa wenye misimamo ya kutokuzaa nje.wenye misimamo hiyo inatarajiwa wasifanye ngono na wasio wake zao au wawe consistent condom users.
[emoji2][emoji2][emoji2]Dadaako mi nilimkanya sitaki habari za mimba sasa mbona mmeanza lawama tena.
Anampenda sana jamaa yake.Ni vipi kuhusu huyo dada ako kuzaa na MWANAUME mwingine[emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji848][emoji848]hiyo haina shida kabisa akifika miaka mitano kuendelea atarudisha mawasiliano na wakati huo anaweza mwambia mkewebmaana itaonekana alikosea siku nyingi lkn sasa hivi akimwambia mkewe ana mtoto nje balaa lake litakuwa halitoshi.
Basi imani yake itamponyaAnampenda sana jamaa yake.
Hawezi kumcheat.
Na furaha yake azae na jamaa si mwingine.
Ana imani iko siku jamaa atakubi mwenyewe na si kutegesha.
Nyie wanawake mnaangalia uliyekuwa naye pesa zipo.Mwanamke usizae kama huna utayari wa kuwa mama na usizae ukiwa hauna uwezo wa kumtunza mtoto wako mwenyew..
Sawa lakin sio zetu izo pesaNyie wanawake mnaangalia uliyekuwa naye pesa zipo.
Sahihi Kabisaa Bora bamia na ugali Ila nna watotoTatizo la kutembea na mume wa mtu ni hilo.
Nina dada yangu anatembea na top mmoja.
Kajengewa white house huko Kigamboni.
Wana miaka mitano.
Na jamaa kila mwezi anampa million 3 ya matumizi hii haijumlishi vibomu vya hapa na pale anavyompiga na kamfungulia sonara ya maana sana mjini hapa lakini mwanaume suala la mtoto hataki kabisa.
Sasa namuambia dada we utaishi hivyo hadi lini?
Anasema sielewi itakapoishia ndo hapo hapo.
Na si kama wanajificha wapo free sana ni kama vile mke sema hajamuoa.
Ila jamaa mtoto alishasema toka day one hataki mtoto na akisema siku ana mimba ndo mwisho wao.
Nachoshangaa huo mjengo na hizo mali bila mtoto nyumba si inapooza sana?
Aisee mie siwezi bora nile bamia kila siku lakini niwe na watoto.
Watoto raha sana.
[emoji38]hiyo Kali anajipa moyo ye Kama vipi ajilipue tu Ila akubalu kusafa kwensekwensii huko mbeleniAnampenda sana jamaa yake.
Hawezi kumcheat.
Na furaha yake azae na jamaa si mwingine.
Ana imani iko siku jamaa atakubi mwenyewe na si kutegesha.
Ni sahihi mkuuSahihi Kabisaa Bora bamia na ugali Ila nna watoto
Ila huyo dada angejiwekeza amteme apate mtoto maana huyo kuzaa nae ishakua ngumu Tena,watoto hawatapata kujua ndugu,hakuna kitu kizuri km mtoto ajue ndugu wa baba na mama haijalishi muwe pamoja au mmeachana,masuala ya kufichwa kama Mtoto yanamuumiza sanaa mtoto
Huyo hajaamua akiamua anamtema anazaa baasi hata katoto kamoja
Hawa wanawake ni changamoto sana mkuu
Sina uhakika kama umeoa vinginevyo hilo swali namba mbili usingejiuliza?Wakuuu.
Dada yangu (mtoto wa mama yangu mdogo) alipewa ujauzito na mwanaume ambaye ameshaoa na wamezaa na huyo mke wake. Dada yangu alikuwa anajua kwamba huyo mwanaume ni mume wa mtu na alishawahi kuambiwa na huyo mwanaume, "kama unavyojua mimi ni mme wa mtu, kwahiyo we niambie vyote ila usije kuniambia habari za umeshika mimba yangu!"
Kwahiyo baada ya kuunasa ujauzito alifikiria sana ile kauli aliyoambiwa na jamaa tangu mwanzo lakini haikumzuia kumpa hiyo taarifa kwamba "Bwana nna ujauzito wako". Jamaa bila kupepesa macho akamjibu "Nadhani hilo swala nilishaliongea tangu zamani, kwahiyo kama una hoja nyingine lete, ila kuhusu hiyo habari ya ujauzito sijui mimi siitambui".
Dada Yangu akamuuliza kwahiyo ichi kiumbe chako vipi? Jamaa akamjibu simple tu "Utajua wewe, utakachoamua ndiyo hicho hicho kwangu mimi sawa tu, kwanza usinisumbue isije mke wangu akajua halafu ukaniaribia ndoa yangu". Dada akabaki tu ameduwaa!
Mpaka ujauzito unafikisha miezi mitatu alikuwa anaogopa kuwaambia nyumbani, lakini kama ujuavyo mimba ya binadamu haifichiki labda ya kuku. Siku ya siku tumbo hilo, kumuuliza vipi akajibu kama mnavoona au hamjaelewa nini, wakamjibu sawa. Kimbembe kikaja kwenye kumtaja aliyempa huo ujauzito, mpaka saizi hivi mtoto kazaliwa juzi tu hapa ana kama wiki mbili hivi dada hajamtaja aliyempa ujauzito na hana mpango wa kuwatajia. Anawajibu tu "Jaman eeh aliyenipa ujauzito mwenyewe hata haeleweki, kwahiyo achaneni naye. Nyie mniangalie mimi angekuwa mtu wa kueleweka kwanza mngeshamuona hapa".
Hiyo story yote kuhusu huyo mwanaume ni nani, ni mimi nilimchimba akanipa mkasa mzima na akasisitiza nisiawaambie wazee. Nikamuuliza kwanini hakutoa (kwa kumtega tu nijue anachowaza, maana mimi ni miongoni mwa watu tunaopinga vikali iko kitendo).
Akanijibu "Nimefanya ushenzi mwingi sana uko, sasa hivi naogopa nisije kupoteza uzazi wenyewe", nikamuelewa. Baada ya kijifungua hapo juzi nikaauliza vipi umempa taarifa, akaniambia "Ujauzito aligoma kuhudumia, tarehe zilivokarbia za kijifungua nikamtaarifa akanijibu vilevile nItajua mimi, ye hayamuhusu".
Kwahiyo sasa hivi dada yupo tu nyumbani analea mtoto kama single mother, baba ye hataki kujua.
Maswali nnayo jiuliza:
1. Huyo jamaa hana hata shauku ya kumuona mwanawe?
2. Dada aliwaza nini kutoka na mume wa mtu?
3. Dada atakujaje kumsimulia mjomba hadithi ya baba yake?
4. Dada atamjibu nini mjomba siku mjomba akitaka kujua alipo baba yake?
5. Dunia ina mengi, kwenye kupita huku na huku dogo anagundua yule ni baba ake, atamchukuliaje?
6. Watoto wa yule jamaa watamchukuliaje mjomba wakija kugundua ni mdogo wao?
7. Yule jamaa si anatengeneza Mond na dimpoz mwingine?
Dunia ina mengi.
#OneDayYouWillBeGone.
Dr. criminal.