Kwani huyu anatumia ubongo gani kufikiria jamani? Ni ubongo huu huu wa binadamu au?
Inafikirisha sana aisee, mpaka uchungu nimepata moyoniHuyu mama mzima kweli au akili imeanza kumruka??Maana yeye kwenye serikali yake kaweka mpaka watoto so why wengine wasiweke ndugu zao??