Amfumania mume wake na house girl, alimlipisha pesa ili yaishe

Unataka kutuambia hasira yako ndo ilipelekea kumla? Je na baada ya hapo ukaendelea kumla kwa ghadhabu?
 
Ukiwa mgeni jf unaweza dhani kinachoongelewa ni usaliti kweli
 
Hata kama ni chai.
Ila wanaume mnatuumiza sana hisia
Tatizo sio pesa hata wanawake wanazitafuta,tatizo majeruhi mnayotuachia baada ya usaliti.
 
Unataka kutuambia hasira yako ndo ilipelekea kumla? Je na baada ya hapo ukaendelea kumla kwa ghadhabu?
Nilimpa ka mtaji ili aende kufungua genge la kuuza mbogamboga nikamuonya kuwa asiwasiliane na mimi tena na kamwe
 
Mamaalitumia fursa safi sana ila m yasinikute walahi tutaitaukoo wote nitahamisha magoli
 
So mamdogo akachagua laki saba faini? alikuwa na kazi nazo hizo usikute na yeye alimpelekea jamaa yake, kwanini asingemuhukumu kifungo cha nje mume wake mpendwa yaishe?
 
Angalau wslilimaliza kiutu uzima hapo kwa maumivu ya mfuko was baba yako mdogo!
Siku hukawii kusikia MTU amechomwa na kitu chenye ncha Kali wakati anakoroma ili kulipiza kisasi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…