Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Katika hali ya kustaajabisha, mfanyabiashara wa duka la simu mkoani Katavi Issa Kasili, amemfumania rafiki yake ambaye ni mfanyabiashara wa zao la mpunga katika Halmashauri ya Mpimbwe, Wilaya ya Mlele mkoani humo, Mayombi Mwela akiwa chumbani akichepuka na mke wake.
Katika video inayosambaa mitandaoni inamwonyesha Issa Kasili akimlaumu rafiki yake huyo kwa kuzini na mkewe....
"Umeni *****... mke wangu Mayombi? Umeni *****... mke wangu Mayombi? Mwishowe umetimiza ahadi yako?
Akimdhibiti mkewe, Kasili amesema amezaa naye mtoto mmoja hivyo kuanzia sasa hataki ndoa naye tena ambapo mara baada ya kumfumania alimpiga faini ya shilingi milioni 5 rafiki yake huyo.