Amfumania rafiki yake akiwa na mkewe gesti

Amfumania rafiki yake akiwa na mkewe gesti

Nilicheka Sana jamaa alivyokuwa analalamika....

Mayombi umenito...... Mke wangu Mayombi. Jamaa anamgeukia mke piga konde' jamaa zembe kashindwa hata kumrushia Mayombe konzi.
Video iko wapi?
 
Wanaume marafiki sijui kwanini huwa natembea ya kuwachukulia wenzao wanawake?
Ni pepo la ngono tu si kingine, kwanza ni kuongeza uadui na kumharibia future huyo mwanamke mana hata kumuoa huyo mayombi hawezi
 
Ila jamaa (aliyefumania) ni matured enough. Inakuhitaji uwe na moyo aisee!

Umfumanie mkeo alafu usifanye chochote badala yake ukadai fidia?
 
Ila jamaa (aliyefumania) ni matured enough. Inakuhitaji uwe na moyo aisee!

Umfumanie mkeo alafu usifanye chochote badala yake ukadai fidia?
Kamlamba makofi na ngumi za kutosha
 
Ndiyo mjifunze. She wako aki'mess up dai fidia uikule. Ila penzi lenu lisikufe 😆😆😆
Hayo atayaweza huyo jamaa. Mimi kwa kweli hapana.

Hebu fungua kofuli ulilojifungia PM.
 
Nilicheka Sana jamaa alivyokuwa analalamika....

Mayombi umenito...... Mke wangu Mayombi. Jamaa anamgeukia mke piga konde' jamaa zembe kashindwa hata kumrushia Mayombe konzi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah nilipitwaje sasa cc, hebu nirushie hyo clip lol.
 
Back
Top Bottom