Amfumania rafiki yake akiwa na mkewe gesti

Amfumania rafiki yake akiwa na mkewe gesti

[emoji23][emoji23][emoji23] niwe mkubwa mara ngapi? Au nikupe zaidi ya unachopata kwa bibi ili akili ikukae sawa? Wee babu taratibu mambo yako lol.
Astaghfilluh
 
[emoji23][emoji23][emoji23] niwe mkubwa mara ngapi? Au nikupe zaidi ya unachopata kwa bibi ili akili ikukae sawa? Wee babu taratibu mambo yako lol.
Dah nipe mjukuu nipee nijue umekuwa mkubwa[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mayombi bwana, anapiga simu kwa mshikaji kumjulisha kamaliza.

Duh kamla shemela. Maisha yanabadilika sana yaani wafumaniwa wenyewe wametulia mfumaniaji ndiye anapiga kelele tu
 
Back
Top Bottom