Amfumania rafiki yake akiwa na mkewe gesti

Amfumania rafiki yake akiwa na mkewe gesti

Hatimaye nimeiona, Afu jamaa ni wasukuma wa Katavi kumbe.

Hahaahaa ila Mayombi anaonekana hana hata wasiwasi na kashalipa mil5 tayari..
 
Hyo clip naiomba kwa mara nyingine aiseee ....tuma hata whtsapp 0718321418......niifanyie analysis stahiki.....
 
Ila jamaa (aliyefumania) ni matured enough. Inakuhitaji uwe na moyo aisee!

Umfumanie mkeo alafu usifanye chochote badala yake ukadai fidia?
Hichi kipengele cha fidia ni asili yetu sukuma Gang
IMG-20210930-WA0051.jpg
 
Hii video imenisikitisha sana kamanda wangu.....mzee mzima anaadhibiwa na kijana mdogo ivyo! Hata kama ametukana ni swala la kuomba msamaha na sio kumwadhibu, wachagga bwana!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom