Amina Kyando amezingua au? Anasakamwa kila kona

Atakuwa anasakamwa na wale ndugu zetu wa mitaa ya Twiga na Jangwani maana wana hofu ya kupigwa na mnyama bao 2-0 kama game iliyopita.

Ndiyo maana waliwatuma ndugu zao walima alizeti wakamie na kutuumizia baadhi ya wachezaji wetu
Uwe mkweli basi
 
Kama kuna watu hawamjui ngoja niwaletee picha yake vizuri
 
Kwani wanaolalamika ni mashabiki wa Singida au Yanga?

Kifupi Yanga hakupenda kukutana na Mnyama wakati huu, maana ana kidonda ana uguza cha kufungwa bao 2 bila game iliyopita [emoji2957]
Issue siyo kulalamika, ni jinsi tifua tifua ilvyo jaribu kuwafichia aibu simba isionekane ni timu dhaifu kwenye mashindano.
Kama wangetolewa Jana si ajabu Azam wenge jipigia jamvi la wageni

Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…