Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Naona anasakamwa sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AnalipaWewe ulionaje?
Acha upimbiWEWE NDIO UNAZINGUA
Tuache mambo ya simba vs singida bull shit, ila huyu Mtoto mashallaaaaahNaona anasakamwa sanaView attachment 2714226
Uwe mkweli basiAtakuwa anasakamwa na wale ndugu zetu wa mitaa ya Twiga na Jangwani maana wana hofu ya kupigwa na mnyama bao 2-0 kama game iliyopita.
Ndiyo maana waliwatuma ndugu zao walima alizeti wakamie na kutuumizia baadhi ya wachezaji wetu
Kwani wanaolalamika ni mashabiki wa Singida au Yanga?Uwe mkweli basi
Kumbe mnyama kitamboMwamba huyu hapa.View attachment 2714316
Hii haikuzaa goli, hii iliokolewa na beki wa Simba, iliyozaa goli haina angle hiyo, acha ujinga.
Issue siyo kulalamika, ni jinsi tifua tifua ilvyo jaribu kuwafichia aibu simba isionekane ni timu dhaifu kwenye mashindano.Kwani wanaolalamika ni mashabiki wa Singida au Yanga?
Kifupi Yanga hakupenda kukutana na Mnyama wakati huu, maana ana kidonda ana uguza cha kufungwa bao 2 bila game iliyopita [emoji2957]
Ana VIPAJA VIZURI[emoji160][emoji39][emoji104][emoji105]Analipa