Amina Ngaluma wa Double M afariki dunia

Amina Ngaluma wa Double M afariki dunia

RIP Amina...ni muda tu ila wote tunaelekea huko huko ulipotangulia....tutakukumbuka kupitia nyimbo ulizotuachia.
 
Kwa taarifa nilizozipata punde kutoka nchini Thailand ni kwamba Amina Ngaluma amefarki dunia leo hii.

more updates to come.

Hizo habari umezipata kwa nani!?
Au Matola?
Manake yule bwana minyoo inampa tabu sana.
Kuna Shariff mmoja kashauri maji ya mpapai, huwenda wale minyoo wakalegea kidogo.
Mfikishie huo ujumbe.

Cc Tayeb
 
Last edited by a moderator:
Hizo habari umezipata kwa nani!?
Au Matola?
Manake yule bwana minyoo inampa tabu sana.
Kuna Shariff mmoja kashauri maji ya mpapai, huwenda wale minyoo wakalegea kidogo.
Mfikishie huo ujumbe.

Cc Tayeb

Teh teh teh!

Hivi yule mwehu Matola bado minyoo inamsumbua tu?!!

Mara hii ajaribu hiyo dawa ya maji ya mpapai, pengine akapata nafuu!
mtemi isike huyo kijana kwani wanafahamiana na Matola?
 
Last edited by a moderator:
Huyu muanzisha mada na Matola ni mama mmoja. Baba mmoja lkn matumbo mbalimbali!

Pwa ha ha ha ha ha.

Mkuu mtemi isike unaumiza mbavu zangu kwa kicheko!

Teh teh teh!

Basi huyu muanzisha mada amfikishie nduguye salam zetu toka kwa Shariff!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mtemi isike unaumiza mbavu zangu kwa kicheko!

Teh teh teh!

Basi huyu muanzisha mada amfikishie nduguye salam zetu toka kwa Shariff!

Samahani mkuu.

Matola gani??au yule binti wa kahtaan anaesumbuliwa na ile minyoo??
 
Last edited by a moderator:
Kipi kimemuuua??

Ni ile minyoo inayokusumbua nawewe nini

Mkuu mtemi isike unaumiza mbavu zangu kwa kicheko!

Teh teh teh!

Basi huyu muanzisha mada amfikishie nduguye salam zetu toka kwa Shariff!

Pwe he he he he!
Kijana kwa kula viporo yule! Dahhh.

Tena kiporo cha utumbo wa nguruwe.

Hawa ni ktk wale waathirika wa KIROMA!

Papa kawaambukia ule ugonjwa wake wa kutokutamani wanawake bali wanamme wenzake km tedo.

Hii inaitwa minyoo DUME! Inaathiri sana Hormones za kiume.
Unakuta vijana km hawa sio rizki.

Cc picchu
 
Last edited by a moderator:
Samahani mkuu.

Matola gani??au yule binti wa kahtaan anaesumbuliwa na ile minyoo??

Mkuu.
Kwani we huoni hata tabia zao?

Yule alisema ana matatizo ya ada ya mwanae.
Halafu ghafla kageuka muingiza magari kutoka nje!

Huyu muanzisha mada bila source yyt inayokubalika Anasema YEYE MWENYEWE kapata habari kutoka THAILAND!

Weeeh! Yaani pedejeee Matola ana wapambe mpaka THAILAND!?

Pwa ha ha ha ha.
 
Last edited by a moderator:
Pwe he he he he!
Kijana kwa kula viporo yule! Dahhh.

Tena kiporo cha utumbo wa nguruwe.

Hawa ni ktk wale waathirika wa KIROMA!

Papa kawaambukia ule ugonjwa wake wa kutokutamani wanawake bali wanamme wenzake km tedo.

Hii inaitwa minyoo DUME! Inaathiri sana Hormones za kiume.
Unakuta vijana km hawa sio rizki.

Cc picchu

Ha ha ha.

Kwaiyo sodoma na gomora kama kawaida?

Laanatullah hao...
 
Last edited by a moderator:
Mkuu.
Kwani we huoni hata tabia zao?

Yule alisema ana matatizo ya ada ya mwanae.
Halafu ghafla kageuka muingiza magari kutoka nje!

Huyu muanzisha mada bila source yyt inayokubalika Anasema YEYE MWENYEWE kapata habari kutoka THAILAND!

Weeeh! Yaani pedejeee Matola ana wapambe mpaka THAILAND!?

Pwa ha ha ha ha.

Daah.

Ila kiukweli kabisa pale kwa matola kahtaan hana binti pale.

Kapata hasara kuwa na binti kama yule.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom