Huu sio uzi wa michezo.
Ukifuatilia soka letu unaweza dhani Boko, Kagere, Wawa, Nyoni ndio watu wenye mafanikio makubwa katika umri mdogo.
Dogo akiwa na miaka name tayari amegonga kopi Genk, Valencia, Barca na Ajax.
Dogo anasema katika maisha yake ndoto yake kubwa Ni kuwatumikia Jangwani. Na ndoto yake tunamuombea itimie Inshallah