mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,222
- 4,689
...na wameahidi kuacha kuvuta bangi au?
Ndio matatizo ya kudandia ugomvi. Sugu na ruge walipatana. Sasa hao wakawa wameachwa njia panda.
Siku zote usiingilie ugomvi wa watu 2 kwa kuegamia upande mmoja maana siku wakipatana utakuwa njia panda usijue la kufanya
Noma kweli Black,Peenlawyer,Mkoloni,Rama D ni kweli au kick za ruge tu?
Rama d itakua bado... nliona picha ya sms aliyotumiwa na mapacha instagram ...rama bado hakua tayari alikua akiwakejeli...Noma kweli Black,Peenlawyer,Mkoloni,Rama D ni kweli au kick za ruge tu?
Nawaonea huruma na wale wanaojiita sijui team anaconda sijui, maisha haya fanya yako tu sui kuiga.
Hii habari haijajitosheleza kwa upande wng imekaa ki-gazeti pendwa inahitaji source kwnz.
Ruge na lady jay d wakipatana sijui wale team anaconda watakuwa wap?