Amini Usiamini: Mapacha wa AntiVirus wamuomba msamaha Ruge

Amini Usiamini: Mapacha wa AntiVirus wamuomba msamaha Ruge

mr gentleman

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
3,222
Reaction score
4,689
Hii imetokea wiki iliyopita ambapo Maujanja Saplayaz a.k.a Mapacha walienda kumuangukia Ruge na wasanii wake ikiwemo F.A ...na wamesamehewa
 
Bila shaka kama wamefanya hivyo si jambo la ajabu sana.

Kama waliona kweli walimkosea Ruge basi wamefanya jambo jema kuomba msamaha na huo ndio ubinadamu kabisa maana hakuna mkamilifu.

Bahati mbaya sote tumejengwa na jamii hinayo penda migongano na hushangaa wagombanao wanapo patana badala ya kushangilia.

Hongera zao.

Comment yangu ni halali kama habarii hii ni ya kweli.
 
Wamefanya kitu kizuri kwa maslahi ya maisha Yao ......bifu hazijengi
 
Ni kweli wameomba msamaha, nikichogundua dunia hii ishi maisha yako usidandie ugomvi utajikuta unapoteza na aliyeanzisha ugomvi ukamsupport anasamehewa wewe unabaki ndo looser. sijui itakuwaje kwa other antivirus members.
 
Noma kweli Black,Peenlawyer,Mkoloni,Rama D ni kweli au kick za ruge tu?
 
Ndio matatizo ya kudandia ugomvi. Sugu na ruge walipatana. Sasa hao wakawa wameachwa njia panda.

Siku zote usiingilie ugomvi wa watu 2 kwa kuegamia upande mmoja maana siku wakipatana utakuwa njia panda usijue la kufanya
 
Ndio matatizo ya kudandia ugomvi. Sugu na ruge walipatana. Sasa hao wakawa wameachwa njia panda.

Siku zote usiingilie ugomvi wa watu 2 kwa kuegamia upande mmoja maana siku wakipatana utakuwa njia panda usijue la kufanya

kweli kabisa kaka jamaa walidandia gari bila kujua inaelekea wapi, mwishowe ruge na sugu wameshapatana wao wamebaki njia panda...big up kwao mapacha, bifu hazijengi..
 
Hii habari haijajitosheleza kwa upande wng imekaa ki-gazeti pendwa inahitaji source kwnz.
 
Weka picha sio story za vijiweni

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Nawaonea huruma na wale wanaojiita sijui team anaconda sijui, maisha haya fanya yako tu sui kuiga.
 
Back
Top Bottom