Amini Usiamini: Mapacha wa AntiVirus wamuomba msamaha Ruge

Rama d itakua bado... nliona picha ya sms aliyotumiwa na mapacha instagram ...rama bado hakua tayari alikua akiwakejeli...

Weee watakuwa mapacha tu sio vinega wote Rama dee anakula zake bata Australia mziki si anajifurahisha tu

Rama D kakaza kweli njaa noma lazima uombe poo!! Adui muombee njaa atanyoosha mikono juu hata kama alikuwa shujaa.
 
Bado najiuliza kwa nini waliamua kumpaka matope mtu bila sababu?

Ina maa waliingia kwenye ugomvi wasio ufahamu au usio wahusu
? Ina maana walio yasema siku zote yalikuwa ya uongo?
Kuomba kwao msamaha kuna maanisha kuwa wamekuwa wakiwadanganya watu na wamekuwa wakisema uongo juu ya Ruge.

Hongera zao kwa kukubali kuwa walikosea. Wamefanya jambo jema na wasije rudia kujiinginza kwenye ugomvi usiyo wahusu.
 
Kwani kuna mtu aliwaza vinega watalainika hivi.
qn of sheba hapa si swala la kulainika bali ni msingi na maana ya kuomba msamaha.

Kuomba msamaha ni kujutia uliyo yafanya na kukubali kuwa ulikosea na katika hili Mapacha wamethibitisha kuwa walikuwa wana fata mkumbo na walikuwa kama watoto ambao wanaambiwa mtukane au mchukie fulani nao wana fanya bila kuuliza au kuwa na sababu.

Pengine unatakiwa kujua mtu mzima anapoamua kuomba msamaha anakuwa amefikiria sana na amejutia kosa.

Hivyo Mapacha hawajalainika bali wametimiza wajibu wa kibinadamu kuw unapo mkosea mtu ni vyema na ni busara kuomba msamaha.

Katika hili pengine wamekuwa wa kubwa na nina wapongeza kwa maendeleo haya.

Hongera Mapacha kwa kuwa wakubwa.
 
Last edited by a moderator:
Uzuri ye anamaisha yake hategemei mziki wa bongo.
Pengine tusi utafsiri huu msamaha vibaya maana sidhani kama kunaweza kuwa na masla yeyote kwao kama hawatotengeneza mziki mzuri.

Pengine tuchukulie kama jambo lililofanywa ni la busara na la kiungwana kabisa.
 
vinega walisalitiwa na sugu baada ya kuomba msamaha kwa Ruge.
Ila nadhani Jide anajiamini
Aiseee kumbe na Sugu aliomba msamaha?
Lakini kitendo hiki hakiwezi kuitwa usaliti bali huungwana.
 
Wasanii wa bongo wengi ni bongo lala hawana ujanja wowote nje ya muziki.
 
vinega walisalitiwa na sugu baada ya kuomba msamaha kwa Ruge.
Ila nadhani Jide anajiamini

Acha kudanganya watu na maneno ya kwenye kahawa,
muwe mnafatilia hata vyombo vya habari.
 

Kwani Ruge naye hana makosa yeye ni malaika. Kama ni ubinadamu naye apige magoti kuwaomba msamaha pia maana nayeye anamakosa yake pia yaliyochangia wasipatane.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…