Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
marhaba
ofcourse napenda kama we ndo ungekuwa unaniambia shikamo.unapenda shikamoo enhee
vinega walisalitiwa na sugu baada ya kuomba msamaha kwa Ruge.
Ila nadhani Jide anajiamini
Pengine tusi utafsiri huu msamaha vibaya maana sidhani kama kunaweza kuwa na masla yeyote kwao kama hawatotengeneza mziki mzuri.
Pengine tuchukulie kama jambo lililofanywa ni la busara na la kiungwana kabisa.
Kumbe kupatanishwa ni sawa na kuomba msamaha?kwani hamkusikia kwenye media Ruge na sugu kupatana?je baada ya hapo ushasikia Sugu akimtusi Ruge kama awali? Ruttashobolwa & kichomiz
Kumbe kupatanishwa ni sawa na kuomba msamaha?
ukikubali kupatanishwa unategemea nn wakati we ndo ulikuwa unatangaza uaduiKumbe kupatanishwa ni sawa na kuomba msamaha?
Kwani Ruge naye hana makosa yeye ni malaika. Kama ni ubinadamu naye apige magoti kuwaomba msamaha pia maana nayeye anamakosa yake pia yaliyochangia wasipatane.
hii imetokea wiki iliyopita ambapo maujanja saplayaz a.k.a mapacha walienda kumuangukia ruge na wasanii wake ikiwemo f.a ...na wamesamehewa
bila picha tomaso mimi sijaamini kitu..
picha ziko wapi?
Nimeongea na Mkoloni kathibisha,pia nilimpigia simu Kulwa,amekubali ni kweli....ameongea mengi sana,,unajua awa jamaa baada ya kuoa life imewakalia vibaya zaidi na stress zimekuwa nyingi so siwalaumu japo wanaonekana km wameuza timu...kuna mengi sana tumeongea mie nimeona poa tu ndio maisha,,,wataishi ivyo mpaka lini na supporters wao hawawasaidii chochote zaidi ya kuwasifu ,biashara yenyewe ya tshirt haitoki kabisa siku izi na mzki hauwalipi na sasa wanafamilia plus utu uzima...
Aiitaji picha mkuu,walienda na baba yao mzazi kwa Ruge.