Amini Usiamini: Mapacha wa AntiVirus wamuomba msamaha Ruge

Amini Usiamini: Mapacha wa AntiVirus wamuomba msamaha Ruge

unapenda shikamoo enhee
ofcourse napenda kama we ndo ungekuwa unaniambia shikamo.

boy-girl-kiss-love-photography-summer-favim-com-514692.jpeg
 
vinega walisalitiwa na sugu baada ya kuomba msamaha kwa Ruge.
Ila nadhani Jide anajiamini

Sugu aliomba msamaha? hivi ukiomba msamaha then unapatanishwa kwani msamaha na upatanisho ni sawa.
 
Pengine tusi utafsiri huu msamaha vibaya maana sidhani kama kunaweza kuwa na masla yeyote kwao kama hawatotengeneza mziki mzuri.

Pengine tuchukulie kama jambo lililofanywa ni la busara na la kiungwana kabisa.

Clouds hamna kitu kama hicho kama hujui kitu utabebwa tu hata kwa mgongo wa tht we huoni kipindi cha uchaguzi walivyokuwa walazimisha kumbeba kalapina lakini wapi Sugu akabaki kuwa Sugu na Pina ni pina tu kabebwa hata kwenye mziki lakini kapigwa za Uso na New Era muzik watoto wa Kilingeni.
 
Makubwa njaa mbayaa na kumuimba kote huko,,au ndio wanataka promo kama wawe kama domo na nyimbo zao za kufoka fokaa,
 
bila picha tomaso mimi sijaamini kitu..
 
bila picha tomaso mimi sijaamini kitu..

Nimeongea na Mkoloni kathibisha,pia nilimpigia simu Kulwa,amekubali ni kweli....ameongea mengi sana,,unajua awa jamaa baada ya kuoa life imewakalia vibaya zaidi na stress zimekuwa nyingi so siwalaumu japo wanaonekana km wameuza timu...kuna mengi sana tumeongea mie nimeona poa tu ndio maisha,,,wataishi ivyo mpaka lini na supporters wao hawawasaidii chochote zaidi ya kuwasifu ,biashara yenyewe ya tshirt haitoki kabisa siku izi na mzki hauwalipi na sasa wanafamilia plus utu uzima...
 
Je,huo unyonyaji wa wasanii waliokuwa wanaupinga kwa nguvu zote umekwisha?

Je,zile harakati walizokua wanazifanya dhidi ya Clouds Media Group zimeisha baada ya kuugulia njaa kwa kipindi kirefu?

Je,hao Clouds ni wakina nani mpaka waamue hatma ya maisha ya mtu?

Hayo ni maswali ninayojiuliza kwa sasa..............KWELI NJAA MWANAHARAMU,HARAKATI ZOTE ZILE,LEO WANAPIGA MAGOTI!!!!!!!!
 
Utoto tu huo kwani hao clouds watawapa mshahara tatzo la kutaka kubebwa hilo wanadhani wakirudi clouds watakuwa juu kimuziki wapi KalaPina kama we mkali ni mkali tu, mbona ngoma ya Ramadee "Kuwa na subira" pamoja na kubaniwa clouds ila kutokana na ubora ilishinda kwenye Kili Awards mwaka jana( na niliipigia kura kweli) na hao hao mapacha walishirikishwa mbona Sugu anapeta tu.

NB kama muziki haulipi fanya kingine wapi Sugu sasa Mb Rama Dee naye anapiga life lake Australia na Mzungu wake huku akipiga mziki na kuuza kwenye iTunes life linasoga. Hao mapacha kurudi kwa Ruge wasidhani ndo mziki ni rahisi hivyo kuna Madogo wa Kilingeni Tamaduni muzik wakae wakijua.
 
Back
Top Bottom