Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Aiitaji picha mkuu,walienda na baba yao mzazi kwa Ruge.
Bado Jide.
Speaking of mapacha, hawajaomba msamaha...wkend iliyopita niliwaona mitaa ya sinza wanaendeleza harakati zao kawaida
Mtazamo nimemukuelewa saana Brother. Ushauri wako kuna kitu umenifungua ktk Maisha niyaishiyo.
Duh Tembele! unajua imenichukua zaidi ya siku tatu kuamini kama kuna ukweli kwenye habari hii? Baada ya kuona hakuna kanusho nikaanza kuamini hasa niliposikia Mkoloni ame confirm.Mapacha wana misimamo mikali mno na binafsi nimezungumza nao mara nyingi lakini tumeambiwa wamehojiwa kuhusu hili hadi RFA wakakubali kuomba msamaha.
Kitendo cha kuambiwa eti pia wamembeba hadi baba yao mzazi kwenda kwa Ruge kuomba msamaha kwangu ilikuwa ni bonge la udhalilishaji kwao na mzee wao!
Kama wewe binafsi unakiri kuzungumza nao na wakakanusha basi hii itakuwa kitu kingine kabisa!
matumbo Muuza Sura mr gentleman
Nadhani redio ishakuwa hewaniJide komandoo...anafungua redio yake soon hapo bandari ya salama kawe.
Speaking of mapacha, hawajaomba msamaha...wkend iliyopita niliwaona mitaa ya sinza wanaendeleza harakati zao kawaida na biashara zao.
Uliwaona wanaendelea kumtukana Ruge au??
Kwani uliambiwa RUGE KAWAKATAZA KUFANYA BIASHARA?
Kwani ruge aliwakataza kufanya shughuli za mziki? au bila ruge haiwezekani kujihusisha na muzic? au kupata mafanikio kimuzic lazima clouds wahusike? maana kila msanii asipofanikiwa analaumu clouds media wakati kuna redio kibao nchi hii.labda walalamikie hiyo studio ambayo inasemekana ilitolewa na raisi kikwete kwa wasanii ambapo hatujui makubaliano yalikuwaje.
nawasilisha.
vinega walisalitiwa na sugu baada ya kuomba msamaha kwa Ruge.
Ila nadhani Jide anajiamini