Duh Tembele! unajua imenichukua zaidi ya siku tatu kuamini kama kuna ukweli kwenye habari hii? Baada ya kuona hakuna kanusho nikaanza kuamini hasa niliposikia Mkoloni ame confirm.Mapacha wana misimamo mikali mno na binafsi nimezungumza nao mara nyingi lakini tumeambiwa wamehojiwa kuhusu hili hadi RFA wakakubali kuomba msamaha.
Kitendo cha kuambiwa eti pia wamembeba hadi baba yao mzazi kwenda kwa Ruge kuomba msamaha kwangu ilikuwa ni bonge la udhalilishaji kwao na mzee wao!
Kama wewe binafsi unakiri kuzungumza nao na wakakanusha basi hii itakuwa kitu kingine kabisa!
matumbo Muuza Sura mr gentleman