Amini usiamini! Nimeokota Tsh milioni 6

Amini usiamini! Nimeokota Tsh milioni 6

Utawafanya watu waanze kukagua mafurushi mwishowe watashika vinyesi
 
Ilikuwa hivi:

Jirani na ninapoishi kuna eneo limetengwa na Manispaa kwa ajili ya kuhifadhi takataka kwa muda kabla gari la Manispaa halijaja kubeba taka hizo.

Wakazi wengi wa mtaa wetu huona uvivu kwenda kumwaga taka ktk chemba hiyo iliyotengwa, badala yake husubiri usiku mwingi kuja kumwaga taka zao jirani kabisa na nyumba yangu.

Asubuhi ilipofika, nikaamka na kukuta furushi la taka jirani na kwangu.

Nikaghadhibika sana

Nikaamua kulibeba furushi hilo na kulipeleka dampo (chemba). Wakati nalikokota, furushi lile likanaswa na kipande cha mti, likapasuka na uchafu ukasambaa.

Hamadi!!!!

Nilichokiona, sikuamini. Nilipigwa butwaa. Baada ya akili kuwa Sawa, nikainama na kuokota na kukimbilia nyumbani, tena chumbani kwangu.

Nimezihesabu. Zipo Tsh 6,000,000 (milioni 6).
Umemaliza kuota?
 
Si za g-nako hizo mkuu maake nae kapoteza kiwango hicho hicho
 
Ilikuwa hivi:

Jirani na ninapoishi kuna eneo limetengwa na Manispaa kwa ajili ya kuhifadhi takataka kwa muda kabla gari la Manispaa halijaja kubeba taka hizo.

Wakazi wengi wa mtaa wetu huona uvivu kwenda kumwaga taka ktk chemba hiyo iliyotengwa, badala yake husubiri usiku mwingi kuja kumwaga taka zao jirani kabisa na nyumba yangu.

Asubuhi ilipofika, nikaamka na kukuta furushi la taka jirani na kwangu.

Nikaghadhibika sana

Nikaamua kulibeba furushi hilo na kulipeleka dampo (chemba). Wakati nalikokota, furushi lile likanaswa na kipande cha mti, likapasuka na uchafu ukasambaa.

Hamadi!!!!

Nilichokiona, sikuamini. Nilipigwa butwaa. Baada ya akili kuwa Sawa, nikainama na kuokota na kukimbilia nyumbani, tena chumbani kwangu.

Nimezihesabu. Zipo Tsh 6,000,000 (milioni 6).
hakikisha unazilipia kodi TRA kijana ili na ww usije ukawa kijipu ukurutu
 
Kweli kabisa!! Hii ni Happy new year
siku ya usafi 9 Dec 2015.jpg
 
Ilikuwa hivi:

Jirani na ninapoishi kuna eneo limetengwa na Manispaa kwa ajili ya kuhifadhi takataka kwa muda kabla gari la Manispaa halijaja kubeba taka hizo.

Wakazi wengi wa mtaa wetu huona uvivu kwenda kumwaga taka ktk chemba hiyo iliyotengwa, badala yake husubiri usiku mwingi kuja kumwaga taka zao jirani kabisa na nyumba yangu.

Asubuhi ilipofika, nikaamka na kukuta furushi la taka jirani na kwangu.

Nikaghadhibika sana

Nikaamua kulibeba furushi hilo na kulipeleka dampo (chemba). Wakati nalikokota, furushi lile likanaswa na kipande cha mti, likapasuka na uchafu ukasambaa.

Hamadi!!!!

Nilichokiona, sikuamini. Nilipigwa butwaa. Baada ya akili kuwa Sawa, nikainama na kuokota na kukimbilia nyumbani, tena chumbani kwangu.

Nimezihesabu. Zipo Tsh 6,000,000 (milioni 6).
Mhhh...nionyeshe na Mimi nikaokote Nina njaa ya hela.
 
Back
Top Bottom