Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umemaliza kuota?Ilikuwa hivi:
Jirani na ninapoishi kuna eneo limetengwa na Manispaa kwa ajili ya kuhifadhi takataka kwa muda kabla gari la Manispaa halijaja kubeba taka hizo.
Wakazi wengi wa mtaa wetu huona uvivu kwenda kumwaga taka ktk chemba hiyo iliyotengwa, badala yake husubiri usiku mwingi kuja kumwaga taka zao jirani kabisa na nyumba yangu.
Asubuhi ilipofika, nikaamka na kukuta furushi la taka jirani na kwangu.
Nikaghadhibika sana
Nikaamua kulibeba furushi hilo na kulipeleka dampo (chemba). Wakati nalikokota, furushi lile likanaswa na kipande cha mti, likapasuka na uchafu ukasambaa.
Hamadi!!!!
Nilichokiona, sikuamini. Nilipigwa butwaa. Baada ya akili kuwa Sawa, nikainama na kuokota na kukimbilia nyumbani, tena chumbani kwangu.
Nimezihesabu. Zipo Tsh 6,000,000 (milioni 6).
Hii taarifa ipo vipi maana nasikia sikia tu kapotezaje au ndio bangi zenyewe?Si za g-nako hizo mkuu maake nae kapoteza kiwango hicho hicho
hakikisha unazilipia kodi TRA kijana ili na ww usije ukawa kijipu ukurutuIlikuwa hivi:
Jirani na ninapoishi kuna eneo limetengwa na Manispaa kwa ajili ya kuhifadhi takataka kwa muda kabla gari la Manispaa halijaja kubeba taka hizo.
Wakazi wengi wa mtaa wetu huona uvivu kwenda kumwaga taka ktk chemba hiyo iliyotengwa, badala yake husubiri usiku mwingi kuja kumwaga taka zao jirani kabisa na nyumba yangu.
Asubuhi ilipofika, nikaamka na kukuta furushi la taka jirani na kwangu.
Nikaghadhibika sana
Nikaamua kulibeba furushi hilo na kulipeleka dampo (chemba). Wakati nalikokota, furushi lile likanaswa na kipande cha mti, likapasuka na uchafu ukasambaa.
Hamadi!!!!
Nilichokiona, sikuamini. Nilipigwa butwaa. Baada ya akili kuwa Sawa, nikainama na kuokota na kukimbilia nyumbani, tena chumbani kwangu.
Nimezihesabu. Zipo Tsh 6,000,000 (milioni 6).
Kweli kabisa!! Hii ni Happy new year
Hapo zamani za kale.....Hadithi njoo, uongo njoo, utamu kolea..
Mhhh...nionyeshe na Mimi nikaokote Nina njaa ya hela.Ilikuwa hivi:
Jirani na ninapoishi kuna eneo limetengwa na Manispaa kwa ajili ya kuhifadhi takataka kwa muda kabla gari la Manispaa halijaja kubeba taka hizo.
Wakazi wengi wa mtaa wetu huona uvivu kwenda kumwaga taka ktk chemba hiyo iliyotengwa, badala yake husubiri usiku mwingi kuja kumwaga taka zao jirani kabisa na nyumba yangu.
Asubuhi ilipofika, nikaamka na kukuta furushi la taka jirani na kwangu.
Nikaghadhibika sana
Nikaamua kulibeba furushi hilo na kulipeleka dampo (chemba). Wakati nalikokota, furushi lile likanaswa na kipande cha mti, likapasuka na uchafu ukasambaa.
Hamadi!!!!
Nilichokiona, sikuamini. Nilipigwa butwaa. Baada ya akili kuwa Sawa, nikainama na kuokota na kukimbilia nyumbani, tena chumbani kwangu.
Nimezihesabu. Zipo Tsh 6,000,000 (milioni 6).
GOODMimi nafanya kazi,na naamini hata mleta mada anafanya kazi,hata huo mchakato wa KUUSUKUMA MZIGO WA TAKA ULIKUA KAZI.
Kufanya kwangu kazi bado hakuniondolei dhana ya kumtegemea MUUMBA.Ntaendelea kumuamini na KUMTEGEMEA