Amini, Usiamini. Nimepona Magonjwa 100+ Kwa Jina la Yesu!

Amini, Usiamini. Nimepona Magonjwa 100+ Kwa Jina la Yesu!

This kind of fallacy is called argument from ignorance.
Your characterization of my perspective as an 'argument from ignorance' exemplifies a fundamental misapplication of logical fallacies, for it erroneously presupposes that the absence of empirical evidence invalidates subjective experience and spiritual insight, thereby disregarding the multifaceted nature of truth beyond mere intellectual grasp.
 
Hii hapa ni orodha ya magonjwa 100 aliyopona ndugu mtoa mada:

1. Malaria
2. Kipindupindu
3. Ukoma
4. Kifua kikuu (TB)
5. Uviko-19 (COVID-19)
6. Surua
7. Rubella
8. Pepopunda
9. Homa ya ini (Hepatitis B na C)
10. Homa ya matumbo (Typhoid)
11. Upele wa ngozi (Scabies)
12. Trakoma
13. Gonjwa la zinaa (STIs)
14. Upungufu wa damu (Anemia)
15. Kisukari
16. Shinikizo la damu (Hypertension)
17. Homa ya dengue
18. Saratani ya kizazi
19. Saratani ya matiti
20. Saratani ya ngozi
21. Saratani ya tezi dume
22. Saratani ya damu (Leukemia)
23. Kipindupindu sugu
24. Minyoo ya tumbo
25. Pumu
26. Maambukizi ya njia ya mkojo (UTI)
27. Matatizo ya moyo
28. Kiharusi
29. Figo kushindwa kufanya kazi
30. Gonjwa la ini
31. Vidonda vya tumbo
32. Matatizo ya meno (Tooth decay)
33. Amiba
34. Upungufu wa vitamini A
35. Matatizo ya macho kama mtoto wa jicho
36. Ukungu kwenye macho (Glaucoma)
37. Uzi wa mshipa (Varicose veins)
38. Homa ya mafua (Influenza)
39. Fangasi ya mdomo na koo
40. Fangasi ya ngozi
41. Kaswende
42. Kisonono
43. Saratani ya koo
44. Dengue hemorrhagic fever
45. Matatizo ya akili kama msongo wa mawazo
46. Schizophrenia
47. Bipolar disorder
48. Ulemavu wa akili (Intellectual disability)
49. Gonjwa la kuhara sugu
50. Matatizo ya masikio (Otitis media)
51. Kuvu kwenye nywele
52. Upele wa vipele (Hives)
53. Gout
54. Mafua ya nguruwe (Swine flu)
55. Homa ya ndege (Avian flu)
56. Homa ya mafua ya kawaida
57. Kifafa
58. Tetekuwanga
59. Ebola
60. Ugonjwa wa Ndui
61. Kichomi (Pneumonia)
62. Homa ya manjano (Yellow fever)
63. Matatizo ya kinga mwilini
64. Kisonono sugu
65. Matatizo ya mgongo
66. Matatizo ya viungo (Arthritis)
67. Homa ya mapafu
68. Saratani ya mfumo wa chakula
69. Saratani ya figo
70. Saratani ya kibofu cha mkojo
71. Uvimbe kwenye ubongo
72. Shingo kukakamaa
73. Matatizo ya mshipa wa fahamu
74. Ukurutu
75. Matatizo ya ngozi ya mwili
76. Mafua ya kawaida
77. Uvimbe wa tonsils
78. Tonsillitis
79. Utapiamlo
80. Matatizo ya homoni
81. Matatizo ya mawe kwenye figo
82. Matatizo ya mfumo wa uzazi
83. Matatizo ya hedhi
84. Maumivu ya kichwa (Migraine)
85. Maambukizi ya mapafu (Bronchitis)
86. Maambukizi ya koo (Pharyngitis)
87. Matatizo ya mfumo wa chakula (IBS)
88. Vidonda vya mdomo (Canker sores)
89. Homa ya mapafu sugu
90. Matatizo ya maungio (Lupus)
91. Matatizo ya ngozi kama eczema
92. Matatizo ya masikio kama tinnitus
93. Matatizo ya kuzungumza (Speech disorders)
94. Ukosefu wa usingizi
95. Matatizo ya mbavu
96. Gonjwa la kichocho
97. Matatizo ya mifupa (Osteoporosis)
98. Maambukizi ya tumbo kama gastroenteritis
99. Homa ya Zika
100. Shambulizi la moyo
 
Such a remark reflects a misunderstanding of mental and spiritual health. True insight comes not from disparaging others but from open-mindedness and empathy, recognizing that faith and conviction often transcend the limits of worldly reasoning.
 
Magonjwa 100 bila shaka una upungufu wa kinga ya mwilini uliokubuhu...
 
Ikiwa unatumia chakula vizuri, miili yetu huwa inajitibu yenyewe bila uhitaji wa chemical reaction(kwa maana ya dawa) kama ambavyo umetanabaisha hapo juu. Hivyo usijinasibu na hizo simulizi za kufikirika za Warumi
Watu zaidi ya milioni 7 walikufa kwa Covid-19, duniani kote; unafikiri walikuwa hawatumii chakula vizuri.
 
Vyovyote vile ushauri wangu siku zote ukipata shida ya afya nenda hospital, tuache kujichukia aisee.Haupungukiwi chochote.
 
Hii hapa ni orodha ya magonjwa 100 aliyopona ndugu mtoa mada:

1. Malaria
2. Kipindupindu
3. Ukoma
4. Kifua kikuu (TB)
5. Uviko-19 (COVID-19)
6. Surua
7. Rubella
8. Pepopunda
9. Homa ya ini (Hepatitis B na C)
10. Homa ya matumbo (Typhoid)
11. Upele wa ngozi (Scabies)
12. Trakoma
13. Gonjwa la zinaa (STIs)
14. Upungufu wa damu (Anemia)
15. Kisukari
16. Shinikizo la damu (Hypertension)
17. Homa ya dengue
18. Saratani ya kizazi
19. Saratani ya matiti
20. Saratani ya ngozi
21. Saratani ya tezi dume
22. Saratani ya damu (Leukemia)
23. Kipindupindu sugu
24. Minyoo ya tumbo
25. Pumu
26. Maambukizi ya njia ya mkojo (UTI)
27. Matatizo ya moyo
28. Kiharusi
29. Figo kushindwa kufanya kazi
30. Gonjwa la ini
31. Vidonda vya tumbo
32. Matatizo ya meno (Tooth decay)
33. Amiba
34. Upungufu wa vitamini A
35. Matatizo ya macho kama mtoto wa jicho
36. Ukungu kwenye macho (Glaucoma)
37. Uzi wa mshipa (Varicose veins)
38. Homa ya mafua (Influenza)
39. Fangasi ya mdomo na koo
40. Fangasi ya ngozi
41. Kaswende
42. Kisonono
43. Saratani ya koo
44. Dengue hemorrhagic fever
45. Matatizo ya akili kama msongo wa mawazo
46. Schizophrenia
47. Bipolar disorder
48. Ulemavu wa akili (Intellectual disability)
49. Gonjwa la kuhara sugu
50. Matatizo ya masikio (Otitis media)
51. Kuvu kwenye nywele
52. Upele wa vipele (Hives)
53. Gout
54. Mafua ya nguruwe (Swine flu)
55. Homa ya ndege (Avian flu)
56. Homa ya mafua ya kawaida
57. Kifafa
58. Tetekuwanga
59. Ebola
60. Ugonjwa wa Ndui
61. Kichomi (Pneumonia)
62. Homa ya manjano (Yellow fever)
63. Matatizo ya kinga mwilini
64. Kisonono sugu
65. Matatizo ya mgongo
66. Matatizo ya viungo (Arthritis)
67. Homa ya mapafu
68. Saratani ya mfumo wa chakula
69. Saratani ya figo
70. Saratani ya kibofu cha mkojo
71. Uvimbe kwenye ubongo
72. Shingo kukakamaa
73. Matatizo ya mshipa wa fahamu
74. Ukurutu
75. Matatizo ya ngozi ya mwili
76. Mafua ya kawaida
77. Uvimbe wa tonsils
78. Tonsillitis
79. Utapiamlo
80. Matatizo ya homoni
81. Matatizo ya mawe kwenye figo
82. Matatizo ya mfumo wa uzazi
83. Matatizo ya hedhi
84. Maumivu ya kichwa (Migraine)
85. Maambukizi ya mapafu (Bronchitis)
86. Maambukizi ya koo (Pharyngitis)
87. Matatizo ya mfumo wa chakula (IBS)
88. Vidonda vya mdomo (Canker sores)
89. Homa ya mapafu sugu
90. Matatizo ya maungio (Lupus)
91. Matatizo ya ngozi kama eczema
92. Matatizo ya masikio kama tinnitus
93. Matatizo ya kuzungumza (Speech disorders)
94. Ukosefu wa usingizi
95. Matatizo ya mbavu
96. Gonjwa la kichocho
97. Matatizo ya mifupa (Osteoporosis)
98. Maambukizi ya tumbo kama gastroenteritis
99. Homa ya Zika
100. Shambulizi la moyo
Watu wanataka nitaje hivyo, lakini kutaja hivyo ni dalili tosha kuwa mtu bado hajui majina halisi ya magonjwa. Kwa mfano, Malaria tu ina majina mengi:
  1. Plasmodium falciparum
  2. Plasmodium vivax
  3. Plasmodium ovale
  4. Plasmodium malariae
  5. Plasmodium knowlesi
Kisukari kina majina mengi
  1. Type 1 Diabetes - Insulin-dependent diabetes mellitus (IDDM)
  2. Type 2 Diabetes - Non-insulin-dependent diabetes mellitus (NIDDM)
  3. Gestational Diabetes - Gestational diabetes mellitus (GDM)
  4. Maturity-onset diabetes of the young (MODY)
Vidonda vya Tumbo vina majina mengi
  1. Peptic Ulcer Disease (PUD)
  2. Gastric Ulcer (occurs in the stomach lining)
  3. Duodenal Ulcer (occurs in the duodenum)
  4. Esophageal Ulcer (can occur in the esophagus)
Majina ya Pneumonia yako mengi
  1. Bacterial Pneumonia
  2. Viral Pneumonia
  3. Fungal Pneumonia
  4. Aspiration Pneumonia
Kama unaumwa malaria, wewe nenda hospitali, mwambie daktari kuwa unaumwa malaria. Daktari atakupima kisha ataandika kwamba unasumbuliwa na Plasmodium vivax au Plasmodium falciparum badala ya malaria uliyomwambia, hapo ndio utajua hujui.
 
Vyovyote vile ushauri wangu siku zote ukipata shida ya afya nenda hospital, tuache kujichukia aisee.Haupungukiwi chochote.
Nani kasema haendi hospitali? Hospitali tunaenda na Jina la Yesu tunalitumia. Halafu wewe unafikiri wanaoenda hospitali wote wanapona? Covid-19 iliua wangapi waliopelekwa hospitali. Magonjwa ya Kisukari, kansa, yanaua wangapi waliolazwa hospitali. Tuache kujichukia aisee. Yesu anaweza kuponya hata magonjwa yanayowashinda madaktari. Ila tunaangamia kwa kukosa maarifa
 
Names was discovered to identify people. How can a name have healing power ? Do names have magnetic,electric, thermo, chemical energy ? Can we use scientific instruments to prove it.
Hivi waliogunda dawa za magonjwa hawajafanya miracles ? Ukipona kwa dawa sio miracle ila kwa kutaja jina.
Tuwe fair bas. Unatumia simu ila hutaki kuwapongeza walioigundua kuwa wamefanya miracles.
 
Maelezo meeengi mnajaza server tu
Unaishi enzi zipi za server kujaa? Nenda Youtube kajifunze. Kila siku watu wanapost mamia ya video; uliishasikia server zimejaa?
 
Yaani mtu na akili zake timamu,anakaa anasubiri aponywe magonjwa yake na mzimu WA mhaini Wa kiyahudi🤔
Mungu alisema atakayeibariki Israeli atabarikiwa; atakayeilaani atalaaniwa. Hivyo ukiwachukia Wayahudi unajitakia laana tu. Nenda kamuulize Mheshimiwa Netanyahu. Kainchi kadogoo lakini ni Tembo mkubwa kwa majirani zake wote. Hapo ndio ujue nguvu na uwezo wa Mungu.
 
Nani kasema haendi hospitali? Hospitali tunaenda na Jina la Yesu tunalitumia. Halafu wewe unafikiri wanaoenda hospitali wote wanapona? Covid-19 iliua wangapi waliopelekwa hospitali. Magonjwa ya Kisukari, kansa, yanaua wangapi waliolazwa hospitali. Tuache kujichukia aisee. Yesu anaweza kuponya hata magonjwa yanayowashinda madaktari. Ila tunaangamia kwa kukosa maarifa
Tumia hilo jina Yesu tu, likuponyeshe.Sio kwenda hospitali kusumbua madaktari na wauguzi.

Kaa huko nyumbani umuombe huyo Yesu wako akuponye kama ana huo uwezo.

Bastard!
 
Ukisoma comments utajua ni jinsi gani kizazi hiki kimefika hapa

Hakimtaki Mungu ,hakiamini Matendo yake makuu,

Mmezoea mazingaombwe na utapeli wa kina mwamposa,suguye, Mazinge,zumaridi na wala nguruwe wengine basi mnaona kama Yesu hawezi kutenda

Binafsi nimeshuhudia miujiza ya Yesu ya kutosha ,


Kama Unajua taratibu za maombi, Unajua law of nature ,basi utashuhudia miujiza mingi sana kwa Jina la Yesu


Nikiona kebehi kwa Yesu ,Huwa naishia kucheka tu

Ila Dunia imeenda mbali sana

Itakuwa kama siku za Nuhu ,watu watakuwa wakila na kunywa ,wakioa na kuolewa
Ameen. Acha tu tuwashuhudie wasije wakasema: "hatukusikia, hatukuambiwa!!"
Mathayo 24:14 Injili ya Ufalme itahubiriwa ulimwenguni kote kuwa ushuhuda kwa mataifa yote. Ndipo mwisho utakapokuja.
 
Back
Top Bottom