UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Hakuna kitu kina nguvu kama imani, na imani sio katika miujiza tu bali inaweza kuwa chanzo cha maradhi au kikwazo katika mambo mbalimbali kwenye maisha yetu. Wenzetu wazungu unakuta mtu haamini Mungu wala uchawi ila anapona maradhi yaliyoshindikana kwa kutamka tu maneno na kuamini hicho anachotamka kuwa ni kweli.(Affirmation)