Amini, Usiamini. Nimepona Magonjwa 100+ Kwa Jina la Yesu!

Miaka yetu ya kuishi duniani si mingi, endelea kupuuza Neno la Mungu, siku ukiondoka duniani ndio utajua moto tuliokuambia ni moto halisi, but utakuwa umechelewa kuamini.
Hivyo vitisho pia wadin tofauti na yako wanavyo wewe kama kafiri utachomwa tu , hayo mambo yenu mkiyazungumza humu makanisani ni sahihi huku kwingine mnajichoresha uwezo wenu wa kufikiri.
 
Kwa afya ipi uliyonayo ya kuhodhi magonja 100+? Acha uzandiki, nenda hospitali zote za rufaa nchini walao uwaponye wagonjwa 125 wenye gonjwa moja moja kisha waje wathibitishe ushuhuda wako hapa!
Nenda kwenye mikutano ya Injili inayofanywa na Watumishi wa kweli wa Mungu uone jinsi watu wanavyopona. Otherwise soma Biblia uone miujiza aliyotenda Yesu
 
Watumishi wa kweli wana alama usoni? Kina mwamposa na unabii wa mchongo ama kiboko ya wachawi alivyotumia fursa kuwapiga mapimbi wa kiimani? Fanya kazi upate mlo ili uishi, dini ya kweli ni namna unavyoishi na jamii yako na imani iluyo kuu ni kwamba baada ya maisha haya hakuna mengine na kwamba tutatengana kigeografia kutegemeana na mahali mabaki ya miili yetu itakapozikwa!
 
Inaonekana umesoma ushuhuda wangu kwa kuruka ruka. Soma tena vizuri. Sijasema niliugua magonjwa 100 at once.
Hata kama uliugua rejareja nawaza tu ina maana afya yako ina bluetooth,whatsapp,instagram,facebook na mitandao yote ya kuvutia magonjwa yote kuweka makazi mwilini mwako? Kwanini walokole mna uongo uongo sana?
 
Wewe ni fanatic wa dini. Dini imereplace common sense yako. Ungekuwa muislamu, ungekuwa mke wa gaidi mmoja wa Alshabab unangoja kujilipua sehemu ili uue watu.
 
Kabla ya kudai kwamba ni uongo uongo ungeleta uthibitisho kwanza wa huo unaodai ni uongo uongo. Mimi ndiye niliyeugua. Kama wewe hujaugua magonjwa mengi mshukuru Mungu.
 
Guess work
 
Weka ushahidi wa vipimo na maabara ulizopimia...kinyume na hapo uko brainwashed, huna tofauti na wanaojilipua kwa kigezo cha kulinda imani.
 
Bado utasema hizo ni maabara feki
 
Kipi kiarabu hapo?
Hutu tubinti twa yesu tunajipigia tu kishkaji na jumapili unakuta kanakata kiuno kwenye hizo kumbi zao za kusifu as if kameshukiwa roho...ukutaka kzmla mpendwa mtapeli kwa jina la aluyeko juu! Utanishukuru siku moja
 
Mkuu huwa najibu hoja personality ya mtu wala sina shida nayo .
 
Wai...kamoja kalikua kakianza kusali utadhani ni ile siku wanayoiita ya pentekoste,ila sasa kupora waume za watu!!!!! Utadhani kachanjiwa
 
Guess work
Call it whatever names, you are out here trying to fool everyone. Faith can't cure anything, it might calm your emotions and give you false hopes, but it will never cure anything.
Stop lying.
 
Back
Top Bottom