Kumbe na wewe ni kilaza?Magonjwa yalikuwa yake, kapona yeye, nyie mnataka kujua nini, mwacheni aendelee kutupa story.
Mnaamini Mwarobaini unatibu magonjwa 40, lakini hamtaki yeye kuponywa magonjwa 100 tu na Yesu?
Kusoma na kuelewa ni vitu viwili tofauti. Mojawapo ya magonjwa niliyougua na kupona ni magonjwa ya macho. Magonjwa ya macho peke yake yana majina zaidi ya 100. Siwezi kukutajia ni jina lipi la ugonjwa wa macho niliougua kwa sababu mimi sio medical doctor na sikupimwa kabla ya kujiombea. Nachojua nilikuwa naumwa macho, pua, miguu, vidole, tumbo nk nk nikapona kwa Jina la Yesu. PeriodNimesoma hakuna sehemu uliyotaja hayo magonjwa
Rubbish.Ulisoma Chuo gani ambapo wanafunzi wanaanza kuuliza maswali kabla ya lecturer kutoa lecture? Subiri kwanza upate lecture halafu kama utakuwa hujaelewa uliza hilo swali lako. Matusi unayotoa yanakuongezea dhambi tu.
Sawa basi tutajie majina ya hayo magonjwa 100 ili tukuaminiNimekuambia huwa naweka mkono sehemu inayouma na kuuamuru ugonjwa utoke kwa Jina la Yesu. Nimefanya hivyo mara nyingi na kupata uponyaji. Unataka vipimo vya nini.
Ndio maana Title yangu imeanza na Amini, Usiamini... nilijua tu watakuwepo wenye kuamini na wasioamini. Kama Yesu mwenyewe alipofanya miujiza "live" watu walimpinga na kumwambia haponyi kwa nguvu zake, sembuse mimi.Sawa basi tutajie majina ya hayo magonjwa 100 ili tukuamini
Naona unamtusi mtu aliyetumia muda na bado lake kumtukuza aliyemponya. Ungeweza kutumia lugha ya staha na bado mkaelewana tu. Kiranga ambaye wewe ni mfuasi wake hanaga lugha isiyokosa staha kama hii. Kwani haauwezi kujadiliana kwa staha?Kama kupigwa kwake huyo Yesu msalabani sisi tumepona, Mbona uliumwa hayo magonjwa mia na zaidi?
Hivi wewe una utimamu huko kichwani?
Yesu aliulizwa maswali mengi tu. So maswali yapo ktk ukristo.shshsh kanisani hatuulizi maswali...
Msamehe bure tu. Hajui alitendalo. Mimi nikitukanwa ndio najua Injili imepenya!Naona unamtusi mtu aliyetumia muda na bado lake kumtukuza aliyemponya. Ungeweza kutumia lugha ya staha na bado mkaelewana tu. Kiranga ambaye wewe ni mfuasi wake hanaga lugha isiyokosa staha kama hii. Kwani haauwezi kujadiliana kwa staha?
Huyu jamaa alishona Hadi vitenge vya Kongo hahaaa
Kumbe ni vya kongo hivyo?Huyu
Huyu jamaa alishona Hadi vitenge vya Kongo hahaaa
Mi namuamini yesu kama mitume wengineMwamini Yesu, inatosha
Unakashifu sana Imani ya watu. Wewe huamini ktk Mungu lakini usikashifu. Ukikashifu maana yake unahamisha mjadala kuwa ugomvi. Mungu aliyeumba mbingu, ardhi watu na vyote tunavyoviona huwezi kumuita demu.Huyo Mungu anataka "kutakwa" kwani yeye amekuwa demu?
Ktk Imani ya Ukristo unaitafsri Imani ni kuwa na hakika ya yasiyokuwapo kana kwamba yamekuwepo.You are completely entitled to your opinions that are not supported by evidences.
But the moment you spread those opinions as fact, Knowing clearly there is no evidence for supporting them, You are a Liar.
And if you spread them as facts knowing clearly they are not supported by evidences, logic and proofs. You are both a liar, perjurer, deceiver, falsifier, fraudster and a spinner of yarns.
Nimeona km vya Kongo vile au ni vya wapi hivi?Kumbe ni vya kongo hivyo?