Amini, Usiamini. Nimepona Magonjwa 100+ Kwa Jina la Yesu!

Amini, Usiamini. Nimepona Magonjwa 100+ Kwa Jina la Yesu!

Magonjwa yalikuwa yake, kapona yeye, nyie mnataka kujua nini, mwacheni aendelee kutupa story.

Mnaamini Mwarobaini unatibu magonjwa 40, lakini hamtaki yeye kuponywa magonjwa 100 tu na Yesu?
Kumbe na wewe ni kilaza?
 
Nimesoma hakuna sehemu uliyotaja hayo magonjwa
Kusoma na kuelewa ni vitu viwili tofauti. Mojawapo ya magonjwa niliyougua na kupona ni magonjwa ya macho. Magonjwa ya macho peke yake yana majina zaidi ya 100. Siwezi kukutajia ni jina lipi la ugonjwa wa macho niliougua kwa sababu mimi sio medical doctor na sikupimwa kabla ya kujiombea. Nachojua nilikuwa naumwa macho, pua, miguu, vidole, tumbo nk nk nikapona kwa Jina la Yesu. Period
 
Ulisoma Chuo gani ambapo wanafunzi wanaanza kuuliza maswali kabla ya lecturer kutoa lecture? Subiri kwanza upate lecture halafu kama utakuwa hujaelewa uliza hilo swali lako. Matusi unayotoa yanakuongezea dhambi tu.
Rubbish.
 
Nimekuambia huwa naweka mkono sehemu inayouma na kuuamuru ugonjwa utoke kwa Jina la Yesu. Nimefanya hivyo mara nyingi na kupata uponyaji. Unataka vipimo vya nini.
Sawa basi tutajie majina ya hayo magonjwa 100 ili tukuamini
 
Sawa basi tutajie majina ya hayo magonjwa 100 ili tukuamini
Ndio maana Title yangu imeanza na Amini, Usiamini... nilijua tu watakuwepo wenye kuamini na wasioamini. Kama Yesu mwenyewe alipofanya miujiza "live" watu walimpinga na kumwambia haponyi kwa nguvu zake, sembuse mimi.
 
Kama kupigwa kwake huyo Yesu msalabani sisi tumepona, Mbona uliumwa hayo magonjwa mia na zaidi?

Hivi wewe una utimamu huko kichwani?
Naona unamtusi mtu aliyetumia muda na bado lake kumtukuza aliyemponya. Ungeweza kutumia lugha ya staha na bado mkaelewana tu. Kiranga ambaye wewe ni mfuasi wake hanaga lugha isiyokosa staha kama hii. Kwani haauwezi kujadiliana kwa staha?
 
Msa
Naona unamtusi mtu aliyetumia muda na bado lake kumtukuza aliyemponya. Ungeweza kutumia lugha ya staha na bado mkaelewana tu. Kiranga ambaye wewe ni mfuasi wake hanaga lugha isiyokosa staha kama hii. Kwani haauwezi kujadiliana kwa staha?
Msamehe bure tu. Hajui alitendalo. Mimi nikitukanwa ndio najua Injili imepenya!
 
Yesu ni zaidi ya Mitume...
1. Yesu ni Mungu
2. Yesu ni Mfalme wa Wafalme
3. Yesu ni Alfa na Omega
4. Yesu ni Mwokozi wa Ulimwengu
5. Yesu ni Mchungaji Mwema
6. Yesu ni Nuru ya Ulimwengu
7. Yesu ni Njia, Kweli, na Uzima
8. Yesu ni Emanueli (Mungu Pamoja Nasi)
9. Yesu ni Mwana wa Mungu
10. Yesu ni Mtakatifu wa Mungu
11. Yesu ni Bwana wa Mabwana
12. Yesu ni Mwamba wa Wokovu
13. Yesu ni Mshauri wa Ajabu
14. Yesu ni Daktari Mkuu
15. Yesu ni Mkombozi
16. Yesu ni Tumaini la Mataifa
17. Yesu ni Kiongozi wa Uzima
18. Yesu ni Karama ya Mungu
19. Yesu ni Shujaa wa Milele
20. Yesu ni Mwanakondoo wa Mungu

Nani mwingine mwenye majina kama hayo
 
Huyo Mungu anataka "kutakwa" kwani yeye amekuwa demu?
Unakashifu sana Imani ya watu. Wewe huamini ktk Mungu lakini usikashifu. Ukikashifu maana yake unahamisha mjadala kuwa ugomvi. Mungu aliyeumba mbingu, ardhi watu na vyote tunavyoviona huwezi kumuita demu.
Huu ni mjadala tu mpinge kwa staha.
 
Im
You are completely entitled to your opinions that are not supported by evidences.

But the moment you spread those opinions as fact, Knowing clearly there is no evidence for supporting them, You are a Liar.

And if you spread them as facts knowing clearly they are not supported by evidences, logic and proofs. You are both a liar, perjurer, deceiver, falsifier, fraudster and a spinner of yarns.
Ktk Imani ya Ukristo unaitafsri Imani ni kuwa na hakika ya yasiyokuwapo kana kwamba yamekuwepo.
Si lazima Imani ya Ukristo ikupe facts. Msingi wa ukristo ni kuamini. Si ku prove. Ndiyo maana inaitwa Imani. Maana yake it can never be subjected to proofs. Ila kwa wanaoamini wataona utendaji wake.
 
NAMSHUKURU MUNGU NIMEPONA TENA KWA JINA LA YESU, MAUMIVU MAKALI YALIYOJITOKEZA UPANDE WA KUSHOTO WA KIFUA. YAMKINI ILIKUWA UGONJWA MMOJAWAPO KATIKA HAYA:
• Angina
• Pericarditis
• Myocarditis
• Pleurisy
• Pneumothorax
• Shingles
• Costochondritis
• Pulmonary embolism
• Aortic dissection
• Hiatal hernia
• Intercostal neuralgia
• Cardiac tamponade
• Mitral valve prolapse
• Atrial fibrillation
• Left ventricular hypertrophy
• Pulmonary hypertension
• Thoracic outlet syndrome
• Gastritis
• Splenic infarction
• Splenic rupture
• Emphysema
• Diaphragmatic spasm
• Endocarditis
• Thoracic aortic aneurysm
• Hyperventilation syndrome
• Musculoskeletal injury
• Tietze syndrome
• Fibromyalgia
• Biliary colic
• Subdiaphragmatic abscess

Yesu anaponya magonjwa yote na udhaifu wa kila aina. Haleluya!
 
Back
Top Bottom